Category: Mengineyo

Tume Ya Mufti: Wafichueni Waliopora Mali Za Waislamu.

Tume Ya Mufti: Wafichueni Waliopora Mali Za Waislamu.

Tume ya Mufti wa Tanzania imewaomba watu wote wenye taarifa au nyaraka zozote kuhusu mali za waislamu, ambazo ziko chini ya usimamizi na umiliki wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), kuziwasilisha kwa tume hiyo, ikiwa ni jitihada za kuunga mkono azma ya Rais John Magufulu ya kurejesha mali za waislamu zilizoporwa kwa hila. Aidha [&hellip

Mashindano ya Qur’ani yaanza Oman

Mashindano ya Qur’ani yaanza Oman

Kwa mujibu wa mwandishi wa IQNA, mashindano hayo yatawashirikisha watu kutoka makundi yote ya umri hasa vijana na mabarobaro wapatao 300 ambapo kutakuwa na vitengo tafauti vya wanawake na wanaume. Halikadhalika mashindano hayo yatawashirikisha raia wa kigeni waishio Oman na wanafunzi vya vyuo vikuu na wake nyumbani. Mashindano hayo yatakuwa na kategoria za kuhifadhi Juzuu [&hellip

Imam Mahdi (af) atawafikisha wanadamu kwenye maisha bora yaliyojaa saada ya milele

Imam Mahdi (af) atawafikisha wanadamu kwenye maisha bora yaliyojaa saada ya milele

Imam Mahdi (af) atawafikisha wanadamu kwenye maisha bora yaliyojaa saada ya milele Ukurasa wa kwanzaJumla19:48 – May 21, 2016News ID: 3470325 Tarehe 15 ya mwezi mtukufu wa Shaaban ni siku ya kukumbuka kuzaliwa Mtukufu Imam wa Zama Imam Mahadi (-Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake-af). Katika alfajiri ya siku kama hii yaani mwaka wa 255 Hijiria, [&hellip

Ijumaa, Mei 20, 2016

Ijumaa, Mei 20, 2016

Leo ni Ijumaa tarehe 13 Shaaban mwaka 1437 Hijria mwafaka na tarehe 20 Mei mwaka 2016 Miladia. Siku kama ya leo miaka 56 iliyopita, nchi ya Kiafrika ya Cameroon ilitangaza kupata uhuru wake chini ya mfumo wa jamhuri na siku kama hii hujulikana kama siku ya taifa nchini humo. Kwa miaka kadhaa Cameroon ilikoloniwa na [&hellip

Wachapishaji Qur’ani Afrika wakutana Sudan

Wachapishaji Qur’ani Afrika wakutana Sudan

Kwa mujibu wa mwandishi wa IQNA, tovuti ya alnilin imeandika kuwa kikao hicho kujulikanacho kama ‘Darul Masahaf al-Afriqiyah’ kinafanyika mjini Khartoum chini ya usimamizi wa Sheikh al-Makashifi na Waziri wa Awqaf wa Sudan na wataalamu kutoka nchi kadhaa za Kiislamu. Mkutano huo unahudhuriwa pia na wajumbe kutoka Saudia, Qatar, Kuwait, Misri, Uturuki nan chi kadhaa [&hellip

Alkhamisi, Mei 19, 2016

Alkhamisi, Mei 19, 2016

Leo ni Alkhamisi tarehe 12 Shaaban mwaka 1437 Hijria sawa na tarehe 19 Mei mwaka 2016 Miladia. Siku kama ya leo miaka 495 iliyopita, wapiganaji wa utawala wa kifalme wa Othmania waliuteka mji muhimu wa Balkan mji mkuu wa Yugoslavia katika rasi ya Balkan. Utawala wa Othmania ulianza kusonga mbele katika eneo la Balkan kuanzia [&hellip

Jumatatu, Mei 16, 2016

Jumatatu, Mei 16, 2016

Leo ni Jumatatu tarehe 9 ya mwezi Shaaban 1437 Hijria sawa na tarehe 16 Mei mwaka 2016 Miladia. Siku kama ya leo miaka 19 iliyopita, Jenerali Mobutu Sese Seko rais na dikteta wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Zaire ya zamani, aliikimbia nchi hiyo baada ya vikosi vya majeshi ya waasi vilivyokuwa vikiongozwa [&hellip

Kipindupindu Chaua Watu 45 Zanzibar.

Kipindupindu Chaua Watu 45 Zanzibar.

  Watu zaidi ya 45 wamefariki kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu visiwani Zanzibar katika kipindi cha miezi miwili, shirika la habari la AP limeripoti. Shirika hilo la habari limemnukuu afisa wa afya visiwani humo anayesema vifo hivyo vimetokea mwezi Machin a Aprili. Muhammed Dahoma, ambaye ni mkurugenzi wa anayeangazia kuzuia maradhi katika wizara [&hellip

WHO: Chanjo Ya Homa ya Manjano Ni Sharti Kwa Waendao Angola.

WHO: Chanjo Ya Homa ya Manjano Ni Sharti Kwa Waendao Angola.

  Shirika la Afya Duniani WHO limesema wasafiri wote wanaoenda nchini Angola wanahitaji kupata chanjo ya homa ya manjano ili kuthibitisha wamejikinga na kuzuia kuisambaza zaidi. Tangazo hilo la WHO limekuja huku kukiendelezwa jitihada za kimataifa za kudhibiti kuenea kwa homa ya manjano nchini Angola. Akizungumzia homa hiyo Jumanne, mkurugenzi mkuu wa WHO Daktari Margaret [&hellip

MSF: Nchi za magharibi na katikati mwa Afrika zimezembea kupambana na maambukizi ya Ukimwi.

MSF: Nchi za magharibi na katikati mwa Afrika zimezembea kupambana na maambukizi ya Ukimwi.

    Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) imeonya juu ya uzembe wa nchi za magharibi na katikati mwa Afrika katika mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya Ukimwi. Taarifa iliyotolewa leo na jumuiya hiyo, imesema kuwa ikiwa misaada ya madawa hitajika haitagawiwa kwa mamilioni ya watu walioambukizwa virusi vya ugonjwa huo, huko magharibi [&hellip