Category: Habari za Kitaifa

Vigogo Acacia kortini kwa utakatishaji fedha.

Vigogo Acacia kortini kwa utakatishaji fedha.

Aliyekuwa Makamu wa Rais wa makampuni ya madini ya Pangea, North Mara, Bulyanhulu na Exploration Du Nord Ltee, Deogratias Mwanyika na mwenzake Alex Lugendo, jana walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Walisomewa mashtaka 39 yakiwamo ya kula njama, kughushi, utakatishaji fedha, dola za Marekani bilioni 374.2. Vigogo hao pia wanadaiwa kukwepa kodi na [&hellip

Mamia wajitokeza uzinduzi wa flyover Tazara.

Mamia wajitokeza uzinduzi wa flyover Tazara.

Dar es Salaam. Mamia ya wananchi wamejitokeza kwenye sherehe za uzinduzi wa daraja la juu ‘flyover’ la Mfugale lililopo katika eneo la Tanzara jijini Dar es salaam. Daraja hilo linazinduliwa rasmi leo Septemba 27, 2018 na Rais John Magufuli. Viongozi wengine walio hudhuria katika sherehe hiyo ya uzinduzi ni pamoja na Mkuu wa Mkoa wa [&hellip

Miili ya watu zaidi ya 40 yaripotiwa kuopolewa Mwanza, Tanzania.

Miili ya watu zaidi ya 40 yaripotiwa kuopolewa Mwanza, Tanzania.

Miili ya watu 44 imeopolewa kutoka Ziwa Victoria baada ya kivuko kilichokuwa kimebeba mamia ya abiria kuzama jijini Mwanza Kaskazini magharibi mwa Tanzania. Mkuu wa wilaya ya Ukerewe,Kanali Lucas Magembe amesema waliokolewa wakiwa salama ni watu 37, watu 32 wako hospitalini kwa ajili ya matibabu. Juhudi za uokoaji ziliendelea mpaka majira ya saa mbili usiku [&hellip

Walimu Wasomewa Shtaka La Kuua Mwanafunzi Kwa Kukusudia.

Walimu Wasomewa Shtaka La Kuua Mwanafunzi Kwa Kukusudia.

Walimu wawili Respicius Patrick Mtazangira na Herieth Gerald, ambao ni watuhumiwa wa mauaji ya mwanafunzi Sperius Eradius (13), aliyekuwa akisoma Shule ya Msingi Kibeta iliyopo Manispaa ya Bukoba, wamefikishwa kwenye Mahakama ya Wilaya ya Bukoba na kusomewa shtaka la mauaji. Washtakiwa hao walisomewa shtaka lao mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi John Kapogoro. Katika kesi hiyo [&hellip

Serikali Yabuni Mbinu Mpya Upimaji Ukimwi

Serikali Yabuni Mbinu Mpya Upimaji Ukimwi

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa kwa sasa wameweka mkakati wa kuhakikisha mtu anayetaka kujipima mwenyewe anajipima mbele ya mtoa huduma wa afya. Alisema, hayo ni mapendekezo ambayo wameyatoa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Dk Adelardus Kilangi na kwamba watakuja kuwaona wabuge waunge mkono suala hilo. Mwalimu [&hellip

Kibano Cha Walimu Wakware Chaja.

Kibano Cha Walimu Wakware Chaja.

Seri kali imewasilisha bungeni muswada wa sheria utakaosaidia kuwabana na kuwadhibiti walimu watovu wa nidhamu, wanaokiuka maadili ya ufundishaji na wanaofanya mapenzi na wanafunzi katika shule za serikali na binafsi. Akiwasilisha Muswada wa Sheria ya Bodi ya Kitaaluma ya Walimu Tanzania wa mwaka 2018, bungeni Dodoma jana, Waziri wa E limu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo [&hellip

Ajali Yaua 6 Wakiwemo Watalii.

Ajali Yaua 6 Wakiwemo Watalii.

Watu sita wakiwemo watalii wanne na Watanzania, dereva na mpishi wamekufa papo hapo baada ya gari la utalii walimokuwa wakisafiria kupata ajali ya kugongana uso kwa uso na lori. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema ajali hiyo imetokea katika eneo la Mti Mmoja katika mji wa Nanja wilayani Monduli mkoani Arusha. Gambo ambaye [&hellip

Polisi Yazungumzia Video Ya ‘Mgambo’ Akimshambulia Raia.

Polisi Yazungumzia Video Ya ‘Mgambo’ Akimshambulia Raia.

Saa chache baada ya video kusambaa mitandao ya kijamii ikimuonesha mgambo akimshambulia kwa rungu mwanaume mmoja huku watu wakiamulia bila mafanikio, Kamanda wa Polisi mkoa wa Kinondoni Murilo Jumanne ameibuka na kulilizungumzia tukio hilo. Kamanda Murilo ameeleza ni kweli tukio hilo limetokea eneo la Bunju, ambapo askari mgambo wa jiji watatu walimshambulia mfanyabiashara Robson Orotho [&hellip

Majaliwa Amwakilisha Jpm Mkutano Wa Focac Nchini China.

Majaliwa Amwakilisha Jpm Mkutano Wa Focac Nchini China.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameondoka nchini jana (Ijumaa, Oktoba 31, 2018) kuelekea nchini China kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC). Mkutano huo wa siku mbili unatarajiwa kuanza Jumatatu, Septemba 03, 2018 jijini Beijing nchini China, ambapo utafunguliwa na Rais wa [&hellip

Jenerali Mwamunyange Aula Zimbabwe.

Jenerali Mwamunyange Aula Zimbabwe.

Mkuu wa Majeshi ya Tanzania mstaafu, Jenerali Davis Mwamunyange ameteuliwa na Rais wa Zimbabwe kuwa mmoja wa wajumbe wanaounda Tume ya watu saba kuchunguza vurugu, zilizotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu nchini Zimbabwe. Uchaguzi wa Zimbabwe ulifanyika Julai 30 mwaka huu, ambapo Rais Emerson Mnangagwa alishinda kwa kupata kura asilimia 50.8 ya kura zote zilizopigwa. Jenerali [&hellip