Makala Mpya

Baraza Kuu la UN lapasisha maazimio 9 dhidi ya Israel.

Baraza Kuu la UN lapasisha maazimio 9 dhidi ya Israel.

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha maazimio 9 dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel na kutangaza upinzani wake dhidi ya siasa na hatua zinazochukuliwa na utawala huo. Kamati ya Nne ya Baraza Kuu la UN imetangaza katika maazimio hayo kwamba, hatua zinazochukuliwa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya raia wa Palestina [&hellip

Duru za habari: Baada ya Lieberman, Waziri wa Uhajiri wa Israel naye pia amejiuzulu.

Duru za habari: Baada ya Lieberman, Waziri wa Uhajiri wa Israel naye pia amejiuzulu.

Vyombo vya habari vimeripoti kuwa waziri mwengine katika serikali ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, amejiuzulu. Shirika la habari la Sputnik limeripoti kuwa, baada ya Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni, Avigdor Lieberman kujiuzulu, Sofa Landver, ambaye kwa muda wa miaka tisa amekuwa Waziri wa Uhajiri wa utawala huo [&hellip

WHO: Kipindupindu kimeshaua zaidi ya watu 857 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

WHO: Kipindupindu kimeshaua zaidi ya watu 857 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa mripuko wa ugonjwa wa kipindupindu umesababisha vifo vya watu zaidi ya 857 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Maeneo ya kati na kusini mwa Kongo DR ni miongoni mwa sehemu zilizoathiriwa zaidi na maambukizi ya ugonjwa huo. Kwa mujibu wa maafisa wa Afya nchini humo, hadi sasa zaidi [&hellip

Wanafunzi Waislamu Nigeria waruhusiwa kuvaa Hijabu shuleni Lagos.

Wanafunzi Waislamu Nigeria waruhusiwa kuvaa Hijabu shuleni Lagos.

Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu Nigeria NSCIA limepongeza agizo la Mahakama ya Juu nchini humo la kuitaka serikali ya jimbo la Lagos kuwaruhusu wanafunzi Waislamu kuvaa Hijabu katika shule za umma katika mji mkuu huo wa kibiashara. Mahakama hiyo imesema kuwa, kesi kuhusiana na kadhia hiyo ingali inaendelea, na kwamba wanafunzi hao wa kike [&hellip

WHO: Kipindupindu kimeshaua zaidi ya watu 857 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

WHO: Kipindupindu kimeshaua zaidi ya watu 857 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa mripuko wa ugonjwa wa kipindupindu umesababisha vifo vya watu zaidi ya 857 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Maeneo ya kati na kusini mwa Kongo DR ni miongoni mwa sehemu zilizoathiriwa zaidi na maambukizi ya ugonjwa huo Kwa mujibu wa maafisa wa Afya nchini humo, hadi sasa zaidi [&hellip

Rwanda eyes expansion of ties with Iran.

Rwanda eyes expansion of ties with Iran.

Waziri mpya wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Richard Sezibera amepongeza uhusiano mzuri wa pande mbili kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusisitizia umuhimu wa kupanuliwa uhusiano huo katika nyuga mbalimbali. Dakta Sezibera aliyasema hayo Jumanne katika mji mkuu Kigali, katika mkutano wake na Sayyid Morteza Mortazavi, Balozi wa Iran [&hellip

Baraza la Usalama la UN laifutia vikwazo Eritrea.

Baraza la Usalama la UN laifutia vikwazo Eritrea.

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeifutia vikwazo Eritrea kufuatia kusainiwa makubaliano ya amani ya kihistoria kati ya nchi hiyo na Ethiopia na kuboreka uhusiano baina yake na Djibouti pia. Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa jana Jumatano lilipiga kura na kupasisha azimio lililopendekezwa na Uingereza na kwa utaratibu huo kuifutia Eritrea vikwazo [&hellip

Watu 3 wauawa katika shambulizi la magaidi wa al-Qaeda Mali.

Watu 3 wauawa katika shambulizi la magaidi wa al-Qaeda Mali.

Kwa akali raia watatu wa Mali wameuawa huku wanne wa kigeni wakijeruhiwa katika shambulizi la kigaidi lililolenga kituo cha kusafisha madini katika mji wa Gao kaskazini mwa nchi hiyo ya Kiafrika. Wizara ya Usalama ya Mali imesema kuwa, gari lililokuwa limesheheni mada za mlipuko liliingia ndani ya kituo hicho saa mbili usiku wa kuamkia leo [&hellip

Tshisekedi na Kamerhe wajiondoa kwenye muungano wa upinzani Kongo.

Tshisekedi na Kamerhe wajiondoa kwenye muungano wa upinzani Kongo.

Baada ya kushinikizwa na wafuasi wao, viongozi wawili wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamesalimu amri na kujiondoa kwenye muungano mpya wa upinzani uliotangaza mgombea mmoja mwishoni mwa wiki. Felix Tshisekedi, kinara wa chama cha Union for Democracy and Social Progress (UDPS) ambaye alikuwa mmoja wa viongozi saba waliotia saini kuundwa muungano mpya [&hellip

Makumi ya maafisa wa jeshi watiwa nguvuni Ethiopia kwa tuhuma za ufisadi.

Makumi ya maafisa wa jeshi watiwa nguvuni Ethiopia kwa tuhuma za ufisadi.

Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Ethiopia amesema kuwa makumi ya maafisa wa jeshi na vyombo vya usalama na upelelezi vya nchi hiyo wametiwa nguvuni kwa tuhuma za ufisadi na ukiukaji wa haki za binadamu. Taarifa iliyotolewa na Mwendesha Mashtaka wa Serikali ya Ethiopia, Berhanu Tsegaye imesema kuwa, maafisa 20 wa ngazi za juu wa jeshi na [&hellip