Makala Mpya

Bodi Ya Wadhamini NSSF Yavunjwa.

Bodi Ya Wadhamini NSSF Yavunjwa.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama ameivunja Bodi ya Wadhamini wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi (NSSF) na kutengua uteuzi wa wajumbe wote wa bodi hiyo kuanzia jana. Akitangaza uamuzi huo Dodoma jana, Mhagama alisema kuwa Rais John Magufuli, ambaye ndiye mwenye mamlaka ya [&hellip

Leseni Za Madereva Wote Kuhakikiwa.

Leseni Za Madereva Wote Kuhakikiwa.

Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limetangaza kuanza operesheni ya uhakiki wa leseni za madereva wote nchini inayotarajiwa kuanza Agosti mosi mwaka huu, huku madereva 173 nchini wakiwa wamefikishwa mahakamani kwa makosa mbalimbali kuhusu leseni za udereva. Pia Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani kimesema kimekusanya zaidi ya [&hellip

MSF yasimamisha shughuli zake Sudan Kusini baada ya ofisi zake kuvamiwa.

MSF yasimamisha shughuli zake Sudan Kusini baada ya ofisi zake kuvamiwa.

Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) imetangaza habari ya kusimamisha aghalabu ya huduma zake katika kaunti ya Maban, kaskazini mwa Sudan Kusini baada ya ofisi zake kushambuliwa. Samuel Theodore, mkuu wa jumuiya hiyo nchini Sudan Kusini amesema ofisi zao zilishambuliwa na watu waliokuwa wamejizatiti kwa silaha, ambapo mbali na kuiba vitu kadhaa vya shirika [&hellip

Bemba kurejea nyumbani Kongo DR wiki ijayo kuwania urais.

Bemba kurejea nyumbani Kongo DR wiki ijayo kuwania urais.

Makamu wa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye mwezi Mei mwaka huu aliondolewa mashitaka na kuachiwa huru na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), anatazamiwa kurejea DRC wiki ijayo. Eve Bazaiba, Katibu Mkuu wa chama kikuu cha upinzani cha Movement for the Liberation of Congo (MLC) chake Jean-Pierre Bemba amesema, “Bemba [&hellip

Congo DR yatangaza kumalizwa ogonjwa wa Ebola.

Congo DR yatangaza kumalizwa ogonjwa wa Ebola.

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza rasmi kwamba maambukizi ya ogonjwa wa Ebola yamekomeshwa kikamilifu nchini humo. Tangazo hilo limehitimisha wiki kumi za maambukizi ya ugonwja huko nchini Congo ambayo yameua watu wasiopungua 33. Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Oly Ilunga alitoa tangazo hilo jana Jumanne baada ya uchunguzi wa siku [&hellip

Magaidi wa Boko Haram wahujumu msikiti na kuua watu wanane Nigeria.

Magaidi wa Boko Haram wahujumu msikiti na kuua watu wanane Nigeria.

Magaidi wakufurishaji wa kundi la Boko Haram wameshambulia msikiti na kuua watu wanane mashariki mwa Nigeria. Taarifa zinasema mlipuko ulitokea Jumatatu asubuhi katika wilaya ya Mainari Konduga katika jimbo la Borno ambalo ni ngome ya magaidi wa Boko Haram. Imearifiwa kuwa mshambuliaji aliingia msikitini wakati wa sala ya Alfajiri na kujjilipua katika umati wa waumini [&hellip

Ujumbe wa wazi wa Rais Rouhani kwa viongozi wa Marekani.

Ujumbe wa wazi wa Rais Rouhani kwa viongozi wa Marekani.

“Kufanya mazungumzo na Marekani hakuna maana isipokuwa kusalimu amri na kuharibu matunda ya taifa la Iran. Bwana Trump! Sisi ni watu wenye izza na heshima, tumekuwa tukilinda amani ya njia ya baharini ya eneo hili katika kipindi chote cha historia; usicheze na mkia wa simba, utajutia” Maneno haya ni sehemu ya hotuba iliyotolewa na Rais [&hellip

Mkapa Kumwakilisha Rais Magufuli Katika Hafla Ya Maadhimisho Ya Miaka 50 Ya Frelimo.

Mkapa Kumwakilisha Rais Magufuli Katika Hafla Ya Maadhimisho Ya Miaka 50 Ya Frelimo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amemteua Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa kumuwakilisha katika maadhimisho ya miaka 50 ya mkutano wa pili wa chama tawala cha Msumbiji (FRELIMO) . Maadhimisho hayo yatafanyika tarehe 25, Julai katika jimbo la Niassa ambapo kutokana [&hellip

Mnangagwa: Wakulima wazungu wasiwe na hofu kuhusu ardhi zao.

Mnangagwa: Wakulima wazungu wasiwe na hofu kuhusu ardhi zao.

Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amewafahamisha wakulima wazungu nchini humo kuwa zama za kuchukuliwa kwa nguvu ardhi zao zimemalizika huku akiwataka wafanye kazi pamoja na serikali yake. Mnangagwa ameyasema hayo katika mkutano wa kampeni kabla ya uchaguzi wa rais unaotazamiwa kufanyika Julai 30 ambapo mpinzani wake mkuu ni Nelson Chamisa wa chama cha upinzani cha [&hellip

Boko Haram yaua watu 18 na kuteka nyara 10 Chad.

Boko Haram yaua watu 18 na kuteka nyara 10 Chad.

Kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram limeshambulia kijiji kimoja kilichoko karibu na mpaka wa Chad na Niger, ambapo watu 18 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa. Gavana wa eneo la Ziwa Chad, Mohammed Aba Salah amewaambia waandishi wa habari leo Jumapili kwamba, mbali na kuua na kujeruhi, wanachama wa kundi hilo la ukufurishaji pia [&hellip