Makala Mpya

Wakulima Afrika Kusini: Trump! Tuache tupumue!.

Wakulima Afrika Kusini: Trump! Tuache tupumue!.

Wakulima nchini Afrika Kusini wamekasirishwa na matamshi ya kichochezi ya rais wa Marekani, Donald Trump na kumtaka asijiingize katika mambo yasiyomuhusu. Shirika la habari la AFP limewanukuu wakulima wa Afrika Kusini wakionesha hasira zao hizo baada ya Donald Trump kudai kuwa ana wasiwasi na marekebisho hayo ya mashamba. Kwa mujibu wa AFP, wakulima wote wa [&hellip

Rais wa Zimbabwe ala kiapo licha ya ushindi wake kulalamikiwa.

Rais wa Zimbabwe ala kiapo licha ya ushindi wake kulalamikiwa.

Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amekula kiapo leo Jumapili kutokana na ushindi ambao unaendelea kulalamikiwa hadi hivi sasa. Mnangagwa ambaye alitangazwa mshindi wa uchaguzi wa Julai 30, amekula kiapo mbele ya Jaji Mkuu, Luke Malaba. Maelfu ya watu wamekusanyika katika uwanja wa taifa mjini Harare kushiriki katika sherehe za kuapshwa Mnangagwa kuwa rais mpya wa [&hellip

Tume ya Uchaguzi DRC yamzuia Bemba kugombea urais.

Tume ya Uchaguzi DRC yamzuia Bemba kugombea urais.

Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (CENI) imemzuia mpinzani Jean-Pierre Bemba kugombea urais katika uchaguzi ujao wa rais. Katika taarifa siku ya Ijumaa, tume hiyo imemzuia Bemba kwa msingi kuwa alipatikana na hatia katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC Machi 2018 ambapo alihukumiwa kifungo cha mwaka mmoja gerezani na faini ya [&hellip

Mahakama Zimbabwe yatupilia mbali madai ya wapinzani, yaidhinisha ushindi wa Mnangagwa kama rais.

Mahakama Zimbabwe yatupilia mbali madai ya wapinzani, yaidhinisha ushindi wa Mnangagwa kama rais.

Mahakama ya Katiba nchini Zimbabwe imetupilia mbali kesi iliyokuwa imefunguliwa na wapinzani na kumuidhinisha Emmerson Mnangagwa kama rais wa nchi hiyo. Chama kikuu cha upinzani cha MDC kilikuwa kimepinga matokeo ya uchaguzi uliofanyika mwezi uliopita wa Julai kwa madai ya kuwepo wizi wa kura. Mahakama hiyo imesema kuwa, ushahidi uliowasilishwa na mgombea wa MDC Nelson [&hellip

Yanga waanza kazi Ligi Kuu, yaichapa Mtibwa 2-1.

Yanga waanza kazi Ligi Kuu, yaichapa Mtibwa 2-1.

Mabao ya Yanga SC leo yalipatikana kipindi cha kwanza yote, yakifungwa na mshambuliaji kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Eritier Makambo na Nahodha Kelvin Yondan kwa penalti, wakati la Mtibwa lilifungwa na Haroun Chanongo. Mtibwa Sugar waliuanza mchezo vizuri na kuutawala kwa takriban robo saa, kabla ya Yanga SC kuzinduka na kuanza kucheza vyema. [&hellip

RC Awatoa Hofu Mlipuko Ebola.

RC Awatoa Hofu Mlipuko Ebola.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo amewatoa hofu wakazi wa mkoa huo kuwa ugonjwa wa ebola haujaingia huko. Amesema, hadi sasa hakuna mtu yeyote aliyethibitishwa au kuhisiwa kuwa na ugonjwa huo mkoani humo. Wangabo amesema, mkoa huo umejizatiti kuimarisha ufuatiliaji na kutekeleza mikakati ya udhibiti ili ugonjwa huo usiingie mkoani humo. Amesema kwa njia [&hellip

Mbivu mbichi kujulikana leo Zimbabwe kuhusu ushindi wa Rais Emmerson Mnangagwa.

Mbivu mbichi kujulikana leo Zimbabwe kuhusu ushindi wa Rais Emmerson Mnangagwa.

Raia wa Zimbabwe wana shauku kubwa ya kujua hukumu inayotazamiwa kutolewa na Mahakama ya Katiba ya nchi hiyo kuhusu kesi iliyowasilisha na kiongozi wa upinzani, Nelson Chamisa kupinga ushindi wa Rais Emmersom Mnangagwa katika uchaguzi uliofanyika Julai 30 mwaka huu. Jaji Mkuu Luke Malaba anayeongoza jopo la majaji tisa ambao walikuwa wakisikiliza kesi hiyo, amenukuliwa [&hellip

Idadi ya wakimbizi waliouawa na Saudia, Al Hudaydah yafikia 31.

Idadi ya wakimbizi waliouawa na Saudia, Al Hudaydah yafikia 31.

Wizara ya Afya nchini Yemen imetangaza ongezeko la idadi ya watu waliouawa katika shambulizi la kinyama lililofanywa na ndege za utawala wa Saudi Arabia katika eneo la al-Kaui la wilaya ya al-Duraihimi, kusini mwa mkoa wa Al Hudaydah, na kusema kwamba imefikia 31. Ndege za muungano vamizi unaoongozwa na Saudia jioni ya jana zilifanya shambulizi [&hellip

Aung San Suu Kyi anyang’anywa tuzo ya Edinburgh, Waislamu wanateseka Myanmar.

Aung San Suu Kyi anyang’anywa tuzo ya Edinburgh, Waislamu wanateseka Myanmar.

Aung San Suu Kyi, Mshauri Mkuu wa Serikali ya Myanmar na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, amenyang’anywa tuzo ya Edinburgh. Mkuu wa shirika la haki za binadamu la Human Rights Watch, Kenneth Roth ametoa ujumbe akisema kuwa, hii ni tuzo ya saba ambayo inachukuliwa kutoka kwa Suu Kyi kutokana na hatua yake [&hellip

Amnesty International laitaka Saudia kubatilisha adhabu ya kifo dhidi ya Esra al-Ghamgam.

Amnesty International laitaka Saudia kubatilisha adhabu ya kifo dhidi ya Esra al-Ghamgam.

Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limeitaka serikali ya Saudi Arabia kubatilisha hukumu ya adhabu ya kifo dhidi ya mwanaharakati wa kike, Esra al-Ghamgam pamoja na wanaharakati wengine wanne wa nchi hiyo wanaotuhumiwa kushiriki maandamano dhidi ya serikali. Samah Hadid, Mkuu wa shirika hilo tawi la Mashariki ya Kati amesema kuwa, kutekelezwa adhabu ya [&hellip