Makala Mpya

Sumatra: Maombi ya Taboa yanasubiri bodi

Sumatra: Maombi ya Taboa yanasubiri bodi

Meneja Uhusiano wa Sumatra, David Mziray Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imesema inasubiri baraka ya bodi ambayo itakaa ndani ya wiki hii, ili kujibu ombi la Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa) kuhusiana na kupandisha bei ya nauli za mikoani. Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Meneja [&hellip

Aston Villa yalimwa na Bradford City

Aston Villa yalimwa na Bradford City

Wachezaji wa Bradford wakisherehekea bao lao Bradford City imewashangaza wengi kwa kuilaza timu inayoshiriki katika ligi kuu ya Premier kwa magoli 3-1, katika mechi ya raundi ya kwanza ya kuwania kombe la ligi. Bradford iliilaza Aston Villa magoli hayo katika uwanja wao wa nyumbani na hivyo kuimarisha matumaini yao ya kufuzu kwa fainali ya kombe [&hellip

Marekani kutuma ndege zisizo na rubani Kongo

Marekani kutuma ndege zisizo na rubani Kongo

Marekani imesema kuwa iko tayati kutuma ndege zisizo na rubani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ili kusaidia mpango wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini humo. Marekani imetangaza uamuzi huo baada ya Mkuu wa Mpango wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa Herve Ladsous kutaka Baraza la Usalama lipanue operesheni za mpango huo [&hellip

Wazayuni waifanya misikiti kuwa masinagogi

Wazayuni waifanya misikiti kuwa masinagogi

Walowezi wa Kizayuni wameubadilisha msikiti mmoja wa kihistoria ulioko Baitul Muqaddas na kuufanya Sinagogi. Taasisi ya Wakfu na Turathi za Kihistoria ya al Aqsa imetangaza leo kuwa, walowezi wa Kizayuni wameushambulia Msikiti wa kihistoria wa Hadhrat Daud AS huko Baitul Muqaddas na kuiharibu vibaya sehemu moja ya msikiti huo na sehemu iliyobaki imefanywa maabadi ya [&hellip

Rais Chavez hataapishwa kwa sasa

Rais Chavez hataapishwa kwa sasa

Rais Hugo Chavez alishinda uchaguzi mwaka jana na sasa atatawala kwa muhula wa nne Bunge la venezuela limepiga kura ya kuidhinisha kuhakhirishwa kwa shughuli ya kuapishwa kwa raisi wa venezuela Hugo Chavez kutawala kwa muhula mpya. Sherehe hizo zilitarajiwa kufanyika hapo keshio siku ya Alhamisi. Manaibu walipiga kura kumpa rais muda anaohitaji kuweza kupata nafuu [&hellip

AU yaomba msaada wa NATO Mali

AU yaomba msaada wa NATO Mali

Wapiganaji wa kiisilamu nchini Mali Mwenyekiti wa Muungano wa Afrika, Thomas Boni Yayi, ametoa wito wa kutuma vikosi kusaidia wanajeshi kupambana na makundi ya wapiganaji nchini Mali. Wapiganaji hao ambao wanajumuisha wale wa Tuareg, wameteka eneo la Kaskazini mwa nchi. ”Mzozo wa Mali ulikuwa kitendawili cha kimataifa na NATO inapaswa kusaidia kama ilivyo saidia Afrghanistan,” [&hellip

Kasi ya hujuma dhidi ya Uislamu barani Ulaya

Kasi ya hujuma dhidi ya Uislamu barani Ulaya

Kasi ya hujuma dhidi ya Uislamu barani Ulaya Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nami katika Makala ya Wiki ambayo leo itaangazia hujuma inayofanywa dhidi ya Uislamu katika nchi za Magharibi. Ni matumaini yangu kuwa mtaendelea kuwa kando ya redio zenu kusikiliza niliyokuandalieni. Kasi ya kuwatishia watu na Uislamu na hujuma dhidi ya dini hiyo [&hellip

Siku ya Ukimwi Duniani

Siku ya Ukimwi Duniani

Siku ya Ukimwi Duniani Assalaamu Alaykum na karibuni katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Ukimwi. Sote tunajua kuwa gonjwa hilo bado linawaumiza vichwa wataalamu wa tiba na madaktari duniani kote, kwani bado halijapatiwa dawa mujarabu wala tiba ya uhakika na limeendelea kusababisha mamilioni ya watu kupoteza maisha [&hellip

Kuongezeka vitendo vya ubaguzi dhidi ya dini ya Kiislamu nchini Ufaransa

Kuongezeka vitendo vya ubaguzi dhidi ya dini ya Kiislamu nchini Ufaransa

Kuongezeka vitendo vya ubaguzi dhidi ya dini ya Kiislamu nchini Ufaransa Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujumuika nasi katika kipindi hiki cha Makala ya Wiki, ambacho kwa kawaida huangazia masuala mbalimbali yanayotukia katika pembe mbalimbali za dunia. Leo tutatupia jicho hali ya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini Ufaransa. Nakusihini kukaa kando na redio [&hellip

Salamu ni zawadi ya Mwenyezi Mungu Mtukufu

Salamu ni zawadi ya Mwenyezi Mungu Mtukufu

Salamu ni zawadi ya Mwenyezi Mungu Mtukufu Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena kujumuika nasi katika kipindi kingine cha Makala ya Wiki, ambacho kwa kawaida huangazia masuala mbalimbali yanayotokia katika pembe mbalimbali za dunia. Leo tutatupia jicho suala la umuhimu wa salamu ambazo kwa kawaida huzikurubisha pamoja nyoyo zetu. Nakusihini kuwa kando ya redio zenu [&hellip