Category: Mashariki ya Kati

Qarii Muirani atia fora mashindano ya Qur’ani Uturuki

Qarii Muirani atia fora mashindano ya Qur’ani Uturuki

Kwa mujibu wa mwandishi wa IQNA, Katika usomaji wake siku ya Jumamosi, Gholamnejad ambaye anawakilisha Jamhuri ya Kiislamu katika kitengo cha qiraa cha mashindano hayo, alisema aya za 12-21 za Surat al Jathiya. Alikuwa miongoni mwa quraa saba ambao walipanda jukwaa katika usiku wa kwanza wa mashindano hayo. Mashindano ya Nne ya Kimataifa ya Qur’ani [&hellip

Iran yawahukumu majasusi wa Marekani miaka 8 jela

Iran yawahukumu majasusi wa Marekani miaka 8 jela

Iran yawahukumu majasusi wa Marekani miaka 8 jela Vyombo vya Mahakama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimewahukumu majasusi wawili wa Marekani kifungo cha miaka 8 jela kila mmoja. Kwa mujibu wa duru za mahakama za Iran, Shane Bauer na Josh Fattal Wamarekani wawili ambao walikuwa wanashikiliwa hapa nchini wamehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela [&hellip

Maandamano ya Mwamko wa Kiislamu yaendelea ulimwengu wa Kiarabu

Maandamano ya Mwamko wa Kiislamu yaendelea ulimwengu wa Kiarabu

Maandamano ya Mwamko wa Kiislamu yaendelea ulimwengu wa Kiarabu Mwamko wa Kiislamu umeendelea kushuhudiwa katika ulimwengu wa Kiarabu huku wananchi wakijitokeza kwa wingi katika maandamano baada ya sala za Ijumaa. Nchini Yemen watu 13 wameuawa baada ya vikosi tiifu kwa dikteta Ali Abdullah Saleh kuwashambulia waandamanaji katika mji wa Taiz kusini mwa nchi hiyo. Mauaji [&hellip

Wairani waandamana kupinga mauaji ya raia Bahrain

Wairani waandamana kupinga mauaji ya raia Bahrain

Wairani waandamana kupinga mauaji ya raia Bahrain Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Iran wameandamana nje ya ubalozi wa Bahrain mjini Tehran baada ya sala ya Ijumaa kupinga mauaji ya Wabahrain yanayotekelezwa na utwala wa kifalme wa Ale Khalifa nchini humo kwa ushirikiana na watawala wa Saudia. Huku wakitoa nara za ‘Mauati kwa Marekani’ na ‘Mauti [&hellip

Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu akagua mafanikio ya kijeshi Iran

Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu akagua mafanikio ya kijeshi Iran

Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu akagua mafanikio ya kijeshi Iran Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahi Udhma Sayyed Ali Khamenei Jumatano amekagua mafanikio ya Jihadi ya Kisayansi na uwezo wa kujihami wa vikosi vya kijeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Maonyesho hayo yalikuwa na zaidi ya mafanikio 300 ya sayansi, teknolojia na zana [&hellip

UN yaeleza wasiwasi wake kuhusu hukumu za mahakama ya kijeshi Bahrain

UN yaeleza wasiwasi wake kuhusu hukumu za mahakama ya kijeshi Bahrain

UN yaeleza wasiwasi wake kuhusu hukumu za mahakama ya kijeshi Bahrain Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema ana wasiwasi mkubwa kuhusu hukumu zilizotolewa na utawala wa Aal Khalifa huko Bahrain dhidi ya viongozi wa upinzani. Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema Ban K-moon ana wasiwasi mkubwa kuhusu hukumu za vifungo vya [&hellip

34 wauawa wakiwa sokoni nchini Iraq

34 wauawa wakiwa sokoni nchini Iraq

34 wauawa wakiwa sokoni nchini Iraq Vyombo vya usalama vya Iraq vimetangaza kuwa watu wasiopungua 34 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa katika mlipuko uliotokea jioni ya jana kwenye soko lililokuwa na msongamano mkubwa wa watu mjini Baghdad. Mlipuko huo ulitokea wakati umati mkubwa wa raia ulipokuwa sokoni hapo kununua bidhaa mbalimbali za mwishoni mwa [&hellip

Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu akagua mafanikio ya jeshi

Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu akagua mafanikio ya jeshi

Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu akagua mafanikio ya jeshi Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei Jumatano leo amekagua maonyesho ya mafanikio ya jihadi ya kielimu na uwezo wa kiulinzi wa vikosi vya jeshi la Iran. Baada ya kukagua maonyesho hayo Ayatullah Khamenei amewashukuru wasimamizi wake na akasema uhakiki ndio nguzo [&hellip

Amr Mussa akosoa mashambulizi ya NATO nchini Libya

Amr Mussa akosoa mashambulizi ya NATO nchini Libya

Amr Mussa akosoa mashambulizi ya NATO nchini Libya Kiongozi anayemaliza muda wake wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu Amr Mussa amekosoa mashambulizi yanayoendelea kufanywa na shirika la kijeshi la nchi za Magharibi NATO nchini Libya akisisitiza kuwa mashambulizi ya kijeshi hayawezi kutatua mgogoro wa nchi hiyo. Mussa amesema amepatwa na shaka kubwa anapoona watoto wadogo [&hellip

Wapalestina waadhimisha Siku ya Wakimbizi duniani

Wapalestina waadhimisha Siku ya Wakimbizi duniani

Wapalestina waadhimisha Siku ya Wakimbizi duniani Wapalestina wamefanya maandamano makubwa nje ya ofisi za Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Gaza mapema leo katika maadhimisho ya Siku ya Wakimbizi duniani. Waandamanaji hao wameitaka jamii ya kimataifa kutekeleza wajibu wake wa kujali na kulinda maslahi ya wakimbizi wa Kipalestina. Said Khalil Shaheen, ofisa wa Kituo cha [&hellip