Category: Michezo

Shafiq Batambuze asaini miaka miwili na mabingwa wa Kenya.

Shafiq Batambuze asaini miaka miwili na mabingwa wa Kenya.

Beki wa Kushoto wa zamani wa klabu ya Singida United Shafiq Batambuze amesaini miaka miwili kujiunga na Mabingwa wa SOka nchini kenya Gor Mahia. Shafiq Batambuze anachukua nafasi ya Mganda Mwenzake Godfrey Walusimbi ambaye alisajiliwa na Kaizer Chief ya Afrika Kusini. Batambuze Pia amewahi kucheza ligi ya Kenya kabla ya kujiunga na Singida United akicheza [&hellip

Mourinho kwa Pogba: hakuna mchezaji mkubwa kuliko Man United.

Mourinho kwa Pogba: hakuna mchezaji mkubwa kuliko Man United.

Kocha wa Manchester United Jose Mourinho amethibitisha kuwa kiungo wake Paul Pogba atacheza kwenye mchezo wa kesho dhidi ya West ham ingawa amesisitiza hakuna mchezaji mkubwa zaidi ya klabu. Hii inakuja baada ya picha fupi ya video kusambaa siku ya Jumatano ikiwaonyesha wawili hao wasioiva katika chungu kimoja wakikwaruzana. Mourinho amesema ana mahusiano mazuri na [&hellip

Yanga waanza kazi Ligi Kuu, yaichapa Mtibwa 2-1.

Yanga waanza kazi Ligi Kuu, yaichapa Mtibwa 2-1.

Mabao ya Yanga SC leo yalipatikana kipindi cha kwanza yote, yakifungwa na mshambuliaji kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Eritier Makambo na Nahodha Kelvin Yondan kwa penalti, wakati la Mtibwa lilifungwa na Haroun Chanongo. Mtibwa Sugar waliuanza mchezo vizuri na kuutawala kwa takriban robo saa, kabla ya Yanga SC kuzinduka na kuanza kucheza vyema. [&hellip

Ligi Kuu Tanzania Bara kuanza bila mdhamini.

Ligi Kuu Tanzania Bara kuanza bila mdhamini.

Bodi ya Ligi Tanzania Bara (TPLB) imesema msimu ujao wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara utaanza bila mdhamini mkuu wakati mipango ya kumpata mdhamini huyo ikiendelea kufanyika. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Boniface Wambura ligi itaanza Agosti 22, mwaka huu kama kawaida chini ya wadhamini ya wenza Azam TV na Benki ya KCB. [&hellip

Barcelona yatwaa ubingwa wa Super Cup.

Barcelona yatwaa ubingwa wa Super Cup.

Klabu ya Barcelona, imetwaa ubingwa wa kombe la Super Cup,kwa kuifunga Sevilla kwa magoli 2-1 katika mchezo uliochezwa nchini Morocco. Sevilla ndio walianza kuzifumania nyavu za wapinzani wao kwa kufunga goli ka kuongoza katika dakika ya tisa ya mchezo kupitia kwa mchezaji wake Pablo Sarabia. Beki kisiki wa Barcelona, Gerald Pique, akasawazisha goli hilo katika [&hellip

Yanga imemuaga  Canavaro.

Yanga imemuaga Canavaro.

Klabu ya Yanga iliandaa mchezo wa majaribio dhidi ya timu ya Daraja la Kwanza Mawezi maalumu kwa ajili ya kumuaga mchezaji wao Nadir Haroub ‘Canavaro’. Canavaro aliyeitumikia Yanga zaidi ya miaka 10, amestaafishwa msimu huu na kupewa nafasi ya Meneja kwenye kikosi hicho na sasa jezi yake namba 23 na hatimye jezi hiyo aliikabidhi kwa [&hellip

Liverpool: Kipa Alisson atua Liverpool tayari kuchukua mahala pake Karius.

Liverpool: Kipa Alisson atua Liverpool tayari kuchukua mahala pake Karius.

Uuzaji wa kipa Alisson kuelekea Liverpool hauonyeshi ukosefu wa tamaa , kulingana na mkurugenzi wa kandanda katika klabu ya Roma Monchi ambaye amekiri kwamba uhamisho wa mchezaji huyo wa Brazil ulikuwa mgumu kwa mashabiki kuelewa. Liverpool imeamua kumnunua kipa huyo kwa dau la £66.8m . Roma inasema kuwa Alisson tayari amewasili katika klabu hiyo ya [&hellip

Azam FC Mabingwa Tena Kombe La Kagame Msimu Wa 2018, Baada Ya Kuichapa Simba 2-1 Uwanja. Wa Taifa.

Azam FC Mabingwa Tena Kombe La Kagame Msimu Wa 2018, Baada Ya Kuichapa Simba 2-1 Uwanja. Wa Taifa.

Klabu ya Azam Fc imefanikiwa kutetea tena ubingwa wa Michuano ya Afrika Mashariki na Kati Maaarufu Kombe la Kagame baada ya kuwafunga Simba magoli 2-1 Mchezo uliomalizika katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Shabani Idd Chilunda ambaye ameibuka Mfungaji bora wa Michuano hiyo baada ya kupachika jumla ya magoli 8 alianza kuwanyanyua mashabiki [&hellip

Croatia 1-2 England.

Croatia 1-2 England.

Mashabiki wa Croatia walisherehekea usiku kucha baada ya taifa lao kuwaondoa England kutoka kwa michuano ya Kombe la Dunia Urusi na kufuzu kwa fainali kwa mara yao ya kwanza kabisa, England waliomboleza. Croatia walipata ushindi wa 2-1 baada ya mechi kumalizika sare ya 1-1 muda wa ziada. Mashabiki walijaza uwanja ulio katikati mwa mji mkuu [&hellip

Kombe la Dunia: Neymar aiondoa Mexico, Brazil yatua robo fainali.

Kombe la Dunia: Neymar aiondoa Mexico, Brazil yatua robo fainali.

Neymar hakuchelea kung’ara kwenye mechi iliyotabiriwa kuwa na uwezo wa kukatiza maazimio ya Brazil kuliinua Kombe la Dunia mara yao ya 6 . Nyota huyo amefanikiwa kuitingia timu yake Brazil 2-0 dhidi ya Mexico. Mexico iliwatatiza mabeki wa Brazil Neymar hakuwa na uoga mbele ya lango na kila alipoona mwanya, alifyatua kombora. Kufikia sasa Neymar [&hellip