Category: Habari za Kitaifa

Tume ya madini yaidhinisha leseni 5,000.

Tume ya madini yaidhinisha leseni 5,000.

Tume ya Madini imeidhinisha utoaji wa leseni 5,108 za uchimbaji wa kati, utafutaji madini, uchimbaji mdogo, za udalali wa madini na biashara ya madini huku ikiwaonya wale ambao watakiuka she ria watanyang’anywa leseni hizo. Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula alisema hatua hiyo imefikiwa baada ya Tume kuanza [&hellip

Ajira maeneo nyeti kudhibitiwa.

Ajira maeneo nyeti kudhibitiwa.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali inadhibiti raia wa nje wasipate ajira kwenye maeneo ya usalama kama bandari, viwanja vya ndege na mipakani ili kulinda usalama wa nchi. Sambamba na hilo, amesema Wakala wa Barabara nchini (Tanroads) na Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (Tarura), wameanza ukarabati wa miundombinu ya barabara na madaraja yaliyoharibika kutokana [&hellip

Ummy ahimiza wanawake kutumia kilimo kujikwamua.

Ummy ahimiza wanawake kutumia kilimo kujikwamua.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu amewataka wanawake wa Afrika wakiwemo Watanzania kutumia fursa ya ardhi kubwa iliyopo Afrika kujiendeleza kupitia kilimo. Waziri huyo amebainisha kuwa kwa sasa kilimo ndiyo sekta iliyoajiri watu wengi hususani Afrika ambapo kwa Tanzania asilimia kubwa ya wanawake Tanzania wanajishughulisha au kujihusisha na kilimo. Akifungua [&hellip

Rais Magufuli azindua kituo cha uwekezaji JWTZ kupitia SUMA JKT Mgulani.

Rais Magufuli azindua kituo cha uwekezaji JWTZ kupitia SUMA JKT Mgulani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Alhamisi hii amezindua kituo cha uwekezaji cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kilichopo katika kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Mgulani (831KJ) Jijini Dar es Salaam. Kituo hicho kina viwanda vya kushona nguo, kutengeneza maji, kukereza vyuma na pia [&hellip

Wanawake 500 kujadili fursa leo.

Wanawake 500 kujadili fursa leo.

Takribani wanawake 500 kutoka nchi 25 za Afrika, wanatarajiwa kukutana nchini leo, katika kongamano la kuwakutanisha pamoja wanawake (Africa Reconnect), kwa ajili ya kujadili fursa mbalimbali za kiuchumi, ikiwemo namna ya kujiinua kiuchumi kupitia mapinduzi ya viwanda. Kongamano hilo litakalohudhuriwa na wanawake wa kada mbalimbali wakiwemo wake wa marais, watoa maamuzi na watunga sera, wanawake [&hellip

Tanzanite One sasa kuilipa fidia serikali.

Tanzanite One sasa kuilipa fidia serikali.

Kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzanite One imekubali kuilipa serikali fi dia pamoja na kodi watakayokubaliana kutokana na dosari zilizokuwepo hapo awali. Makubaliano hayo yalitiwa saini jijini Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa Kamati iliyoundwa na Rais John Magufuli, Profesa Palamagamba Kabudi na Mkurugenzi wa Tanzanite One, Faisal Juma. Akizungumza mara baada ya kutia [&hellip

Benki Kuu yaziunganisha benki za TPB na Twiga.

Benki Kuu yaziunganisha benki za TPB na Twiga.

Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imeziunganisha Benki za Twiga na TPB na kuwa benki moja kwa malengo ya kuongeza ufanisi wa taasisi za fedha za kiserikali. Hayo yamebainishwa jijini Dar es Salaam leo (Jumatano) na Naibu Gavana wa BOT, Bernard Kibesse huku akieleza dhamira ya kuchukua uamuzi huo ni kuleta ufanisi katika taasisi za fedha [&hellip

Tozo, ada kero 21 kwa wakulima zafutwa.

Tozo, ada kero 21 kwa wakulima zafutwa.

Serikali imetangaza kufuta tozo na ada 21 zilizoonekana kuwa kero kwa wakulima ama vikwazo kwa maendeleo ya Sekta ya Kilimo. Hizo ni miongoni mwa ada na tozo zilizoonekana kuwa kero na kikwazo kwa maendeleo ya kilimo nchini mwaka jana wa fedha wakati serikali ilipofuta ada na tozo 78 kati ya 139. Pia imetangaza maeneo manne [&hellip

JPM atoa maagizo 5 mazito mafuta ya kula

JPM atoa maagizo 5 mazito mafuta ya kula

Rais John Magufuli ametoa maagizo matano kwa watendaji wa wizara na idara za serikali, alipofanya ziara ya kushtukiza muda wa saa 6.30 mchana, kufuatilia sakata la mafuta ya kula kwenye Bandari ya Dar es Salaam jana, ikiwemo kuagiza mafuta hayo kutolewa bandarini haraka. Rais Magufuli alitoa maagizo hayo, baada ya kupokea ripoti ya timu ya [&hellip

Mvua kuathiri mavuno EAC.

Mvua kuathiri mavuno EAC.

Bei ya vyakula katika nchi za Afrika Mashariki, inatarajiwa kuongezeka katika miezi miwili ijayo kutokana na mavuno kidogo, yatakayopatikana baada ya mazao kuathirika na mafuriko, wadudu na magonjwa. Kwa mujibu wa Kundi la Usalama wa Chakula, kaya za Rwanda, Uganda, Burundi, Somalia na Sudan, zinazotegemea chakula cha sokoni, zitakabiliwa na upandaji bei kutokana na kupungua [&hellip