Category: Habari za Kitaifa

Walimu Waliofelisha Jangwani Kuwajibishwa.

Walimu Waliofelisha Jangwani Kuwajibishwa.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amesema mratibu elimu kata na walimu walioshiriki katika kufelisha wanafunzi katika Shule ya Sekondari Jangwani jijini Dar es Salaam, lazima wawajibike. Alisema waratibu kata nchini waliopata pikipiki 2, 894 zilizotolewa kwa ajili ya kufuatilia elimu, zitawatokea puani wasipotumia kutekeleza wajibu wao. Alitoa kauli hiyo katika viwanja [&hellip

Waziri Amng’oa Bosi Wakala Wa Ajira.

Waziri Amng’oa Bosi Wakala Wa Ajira.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu), Jenista Mhagama ametengua uteuzi wa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Ajira (Taesa), Saneslaus Chandarua kwa kuwa ameshindwa kuisimamia taasisi hiyo katika soko la ajira nchini. Waziri Mhagama ametoa maagizo matano kwa Katibu Mkuu wa wizara yake na [&hellip

Ndalichako Acharuka Ubora Wa Elimu.

Ndalichako Acharuka Ubora Wa Elimu.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amewabana wanafunzi watakaonufaika na mikopo ya elimu ya juu mwaka huu, akiwataka watakapohitimu masomo yao wawe na uwezo wa kukabiliana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia. Ametoa agizo pia kwa taasisi zote za elimu ya juu kutoa mafunzo yanayoendana na soko la ajira na changamoto za [&hellip

Magufuli- Idadi Ya WAChina Fursa Kwa Afrika.

Magufuli- Idadi Ya WAChina Fursa Kwa Afrika.

Rais John Magufuli ametaka nchi za Afrika kutumia vema idadi ya watu nchini China kwa kupanua soko la bidhaa, kwa kuuza bidhaa katika kukuza na kuimarisha ushirikiano baina ya pande hizo. Ameeleza kuwa nchi za Afrika hazihitaji misaada yenye masharti, bali maelewano kwa kujenga misingi ya kuheshimiana na kuelewana. Pia, China imeahidi kutoa ufadhili kwa [&hellip

Ummy aagiza dereva gari la wagonjwa asimamishwe.

Ummy aagiza dereva gari la wagonjwa asimamishwe.

Simiyu. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Tarime, Elias Ntiruhungwa kumsimamisha kazi dereva wa gari la kubeba wagonjwa la halimashauri hiyo aliyekamatwa akiwa amepakia kilo 800 za mirungi. Kauli hiyo imetolewa Alhamisi ya Julai 12,2018 katika uzinduzi wa mradi wa Tuwatumikie katika viwanja vya Halmashauri ya Wilaya ya Itilima Mkoani [&hellip

Mabadiliko baraza la mawaziri Tanzania: Rais Magufuli amfuta kazi Mwigulu Nchemba.

Mabadiliko baraza la mawaziri Tanzania: Rais Magufuli amfuta kazi Mwigulu Nchemba.

Rais, Dkt. John Pombe Magufuli amelifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri chini ya kipindi cha mwaka mmoja Aliyeathirika na mabadiliko ya Rais Magufuli siku ya Jumapili ni waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Lameck Nchemba ambaye uteuzi wake ulitenguliwa. Mwigulu Nchemba alipata umaarufu kwa juhudi zake za kuzuia maandamano dhidi ya Rais Magufuli. [&hellip

Jamii Forums yasitisha huduma; mazungumzo na TCRA yaendelea.

Jamii Forums yasitisha huduma; mazungumzo na TCRA yaendelea.

Mtandao wa Jamii Forums nchini umechukua hatua ya kusitisha huduma zake kutokana na hatua ya mamlaka ya mawasiliano nchini(TCRA) kutaka mitandao kusajiliwa na kupewa leseni kufikia Juni 11, 2018. Akizungumza na idhaa ya Kiswahili VOA Jumatatu mwanzilishi mwenza wa mtandao wa Jamii Forums, Mike Mushi aliyeko Arusha, Tanzania, amesema kanuni hiyo mpya ina vipengere ambavyo [&hellip

Kabaka ashauri wanawake kumuunga mkono JPM.

Kabaka ashauri wanawake kumuunga mkono JPM.

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania wa CCM (UWT), Gaudentia Kabaka, amewataka wanawake nchini kuunga mkono jitihada za Rais John Magufuli za kukuza uchumi wa viwanda, kwa kushiriki kikamilifu katika kuijenga Tanzania ya Viwanda. Kabaka aliyasema hayo katika kongamano lililowakutanisha wanawake wa Afrika pamoja (Africa Reconnect), linalofanyika katika ukumbi wa APC Bunju jijini Dar es [&hellip

Marais wastaafu walilia amani barani Afrika.

Marais wastaafu walilia amani barani Afrika.

Marais wastaafu Benjamin Mkapa wa Tanzania, Thabo Mbeki wa Afrika Kusini na Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia, wamezihamasisha serikali za Afrika, kugharimia shughuli za kulinda amani katika bara hili. Walisema hayo Dar es Salaam jana kwenye mkutano wao na waandishi, walipozungumzia Kongamano la Kikanda la Viongozi Wastaafu Kuhusu Nafasi ya Afrika katika Mfumo wa Amani [&hellip

Viwango vipya ubora wa majengo vyaja.

Viwango vipya ubora wa majengo vyaja.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imeanza kuandaa viwango vya ujenzi na majengo ambavyo vitatumika ili kuwezesha ujenzi wa majengo bora nchini. Alisema hatua hiyo imelenga kuwa na ujenzi na majengo yaliyobuniwa vyema ili makosa yaliyofanyika katika jiji la Dar es Dalaam yasijirudie katika miji mingine ikiwamo jiji la Dodoma. Majaliwa aliyasema hayo wakati wa [&hellip