Category: Habari za Kitaifa

Agizo la Dk. Nchimbi lasalimisha silaha 310

Agizo la Dk. Nchimbi lasalimisha silaha 310

John Mnyika Chadema leaders say President Jakaya Kikwete’s end-of-year address should have dealt more with issues related to the wave of extrajudicial killings and the writing of the new constitution. Speaking to journalists in Dar es Salaam yesterday Chadema’s Ideology and Publicity Director, John Mnyika said people were eager to know the government position relating [&hellip

Watatu washikiliwa mauaji ya Mzungu Dar

Watatu washikiliwa mauaji ya Mzungu Dar

Watatu washikiliwa mauaji ya Mzungu Dar Na Mwandishi wetu 1st January 2013 Kamanda wa polisi kanda ya Kinondoni, Suleiman Kova Watu  watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya raia wa Bulgaria, Rola Cheterola, aliyenyongwa akiwa katika nyumba za kupanga (apartment) za hoteli ya [&hellip

‘Amani ndiyo msingi wa ukuaji uchumi Zanzibar’

‘Amani ndiyo msingi wa ukuaji uchumi Zanzibar’

‘Amani ndiyo msingi wa ukuaji uchumi Zanzibar’ Na Mwinyi Sadallah 1st January 2013 Rais wa Zanzibar, Dk.Ali Mohamed Shein Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, amesema ukuaji wa uchumi wa Zanzibar utategemea kuimarika kwa hali ya amani na umoja wa kitaifa. Dk. Shein amesema hayo katika salamu zake za kuukaribisha Mwaka Mpya. Alisema misingi [&hellip

Chokochoko za dini zamkera Kinana

Chokochoko za dini zamkera Kinana

Chokochoko za dini zamkera Kinana Na Cynthia Mwilolezi 1st January 2013 Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM), Abdulrahman Kinana, amesema amekerwa na chokochoko za kidini zilizoanza kujipenyeza  na kuomba madhehebu ya dini na taasisi zake nchini,kuendelea kuhubiri amani na  kuliombea taifa, ili wananchi waendelee kujivunia [&hellip

Amuua mwenziwe wakigombea mjane, naye auawa kwa mawe

Amuua mwenziwe wakigombea mjane, naye auawa kwa mawe

Amuua mwenziwe wakigombea mjane, naye auawa kwa mawe Na Mwandishi wetu 1st January 2013 Kamanda wa polisi wa Kanda maalumu ya mkoa wa kipolisi wa Tarime na Rorya, Justus Kamugisha. Wanaume wawili wameuawa kwa kupigwa mawe pamoja na kuchomwa visu wakati wakigombea mjane Wilaya ya Tarime mkoani Mara. Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya [&hellip