Category: Habari za Kitaifa

Maombi Shahada Vyuo Vikuu Kufungwa Leo.

Maombi Shahada Vyuo Vikuu Kufungwa Leo.

Dirisha la maombi ya kujiunga na masomo ya Shahada ya Kwanza katika vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu nchini, linatarajiwa kufungwa rasmi saa sita usiku leo, baada ya kufunguliwa rasmi Julai 20, mwaka huu kwa awamu ya kwanza. Aidha, dirisha hilo linatarajiwa kufunguliwa tena kwa mara ya pili Septemba 3 hadi 7, mwaka [&hellip

Rais Magufuli Aongoza Mamia Kuaga Mwili Wa Majuto, Dar.

Rais Magufuli Aongoza Mamia Kuaga Mwili Wa Majuto, Dar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo amewaongoza mamia ya wananchi kuaga mwili wa aliyekuwa Msanii wa vichekesho nchini Amri Athuman maarufu King Majuto, katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Viongozi wengine waliofika kumuuaga mwili wa mzee Majuto ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, Naibu Waziri [&hellip

King Majuto Kuzikwa Tanga.

King Majuto Kuzikwa Tanga.

Mwili wa nyota wa maigizo na vichekesho nchini, Amri Athuman (70) maarufu kwa jina la King Majuto unatarajiwa kuzikwa Tanga kesho. Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Simon Mwakifamba amesema, mwili wa mzee Majuto utasafirishwa leo jioni kuupeleka mkoani humo. King Majuto aliaga dunia jana saa moja na nusu usiku kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili, [&hellip

Kigwangalla- Namshukuru Mungu.

Kigwangalla- Namshukuru Mungu.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla, anamshukuru Mungu kwa sababu ajali waliyopata ilikuwa mbaya. Dk Kigwangalla alipata ajali juzi saa 12 asubuhi katika eneo la Kwa Mchinjo mbele ya kijiji cha Mdolii, mkoani Manyara baada ya gari walimokuwa wakisafiria lenye namba za usajili STL 5218 aina ya Toyota Land Cruiser V8 GX kupinduka [&hellip

‘Mawasiliano Salama Muhimu Kwa Uchumi’.

‘Mawasiliano Salama Muhimu Kwa Uchumi’.

Baada ya kuapishwa rasmi wakuu wa mikoa, makatibu wakuu na naibu makatibu wakuu, wameahidi kila mmoja, kutekeleza ipasavyo majukumu yanayowakabili katika maeneo yao, ikiwemo kukabiliana na changamoto zinazowasumbua wananchi. Rais John Magufuli jana aliwaapisha viongozi 21 aliowateua mwishoni mwa wiki kushika nyadhifa mbalimbali Ikulu, Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi [&hellip

Mwalimu Mkuu Adaiwa Kumjaza Mimba Mwanafunzi.

Mwalimu Mkuu Adaiwa Kumjaza Mimba Mwanafunzi.

Jeshi la Polisi wilayani Nkasi mkoani Rukwa linamsaka Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kilambo cha Mkolechi, Eradi Kapyela anayedaiwa kuikimbia shule yake akituhumiwa kumpa ujauzito mwanafunzi wake wa darasa la saba mwenye umri wa miaka 14 . Shule ya Msingi Kilambo cha Mkolechi ipo katika mwambao mwa Ziwa Tanganyika katika Kata ya Kala wilayani [&hellip

Leseni Za Madereva Wote Kuhakikiwa.

Leseni Za Madereva Wote Kuhakikiwa.

Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limetangaza kuanza operesheni ya uhakiki wa leseni za madereva wote nchini inayotarajiwa kuanza Agosti mosi mwaka huu, huku madereva 173 nchini wakiwa wamefikishwa mahakamani kwa makosa mbalimbali kuhusu leseni za udereva. Pia Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani kimesema kimekusanya zaidi ya [&hellip

Mkapa Kumwakilisha Rais Magufuli Katika Hafla Ya Maadhimisho Ya Miaka 50 Ya Frelimo.

Mkapa Kumwakilisha Rais Magufuli Katika Hafla Ya Maadhimisho Ya Miaka 50 Ya Frelimo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amemteua Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa kumuwakilisha katika maadhimisho ya miaka 50 ya mkutano wa pili wa chama tawala cha Msumbiji (FRELIMO) . Maadhimisho hayo yatafanyika tarehe 25, Julai katika jimbo la Niassa ambapo kutokana [&hellip

Majaliwa- Tuenzi Utamaduni, Tutunze Mazingira.

Majaliwa- Tuenzi Utamaduni, Tutunze Mazingira.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wanasiasa, mawaziri na wabunge wawahamishe Watanzania kuendeleza utamaduni wao nchini. ‘ Ametoa mwito huo wakati akizungumza na wazee na wananchi wa Makunduchi baada ya kushuhudia maadhimisho ya sikukuu ya Mwaka-Kogwa yaliyofanyika Makunduchi, wilaya ya Kusini, mkoa wa Kusini Unguja. “Mawaziri tuna dhamana ya kuwahamasisha Watanzania waendeleze utamaduni ili uwe ni [&hellip

Waziri Awawakia Wakandarasi, Miradi Ya Maji.

Waziri Awawakia Wakandarasi, Miradi Ya Maji.

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa amewataka makandarasi walioshindwa kukamilisha miradi ya maji kwa wakati, kutojaribu kuomba miradi mingine katika kipindi chake cha uongozi. Aidha, amewataka watendajiji ndani ya wizara anayoiongoza kubadilika pamoja na mamlaka za maji kufanya biashara na zijihudumie kwa kujilipia ankara za umeme na fedha zilizokuwa zikitoka wizarani zielekezwe kwenye [&hellip