Category: Habari za Kitaifa

Askari Wa FFU Amuua ‘Mkewe’ Kwa Risasi Benki.

Askari Wa FFU Amuua ‘Mkewe’ Kwa Risasi Benki.

Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) mkoani Manyara, Konstebo Cosmas James (H.2443) anadaiwa kumuua mwanamke mmoja, anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake aliyezaa naye, kwa kumfyatulia risasi nne, kichwani, kifuani na shingoni, alipokuwa lindoni katika moja ya matawi ya benki mjini Babati. Tukio hilo ni la juzi jioni saa 12.30 katika jengo la Benki ya [&hellip

Rais Magufuli amteua Profesa Florens Luoga kuwa Gavana wa Benki Kuu.

Rais Magufuli amteua Profesa Florens Luoga kuwa Gavana wa Benki Kuu.

Rais Dk John Magufuli amteua Profesa Florens Luoga kuwa Gavana wa Benki Kuu Tanzania. Amtaka Gavana wa sasa Beno Ndulu kuanza utaratibu wa kukabidhi ofisi haraka. Rais Magufuli alifanya uteuzi huo wakati wakati wa kutunuku vyeti vya pongezi maalum wajumbe wote waliohusika kuchunguza kiwango, aina na thamani ya madini katika makinikia. Kabla ya uteuzi huo, [&hellip

TanzaniteOne: Tuko tayari kwa makubaliano mapya.

TanzaniteOne: Tuko tayari kwa makubaliano mapya.

Uongozi wa Kampuni ya uchimbaji madini aina ya tanzanite ya TanzaniteOne Mining Limited, umejitokeza na kutangaza wazi kuwa wako tayari kushirikiana na serikali katika kupitia upya makubaliano ya mkataba wa uchimbaji na kuhakikisha kuwa taifa linanufaika na vito hivyo. “Wakati tunasubiri taratibu za serikali kukamilika kabla ya kuanza majadiliano, tunapenda kumhakikishia Mheshimiwa Rais John Magufuli [&hellip

Ubunifu wa Makonda waimarisha Jeshi la Polisi Dar ves Salaam.

Ubunifu wa Makonda waimarisha Jeshi la Polisi Dar ves Salaam.

Makonda akabidhi magari 18 kwa jeshi la polisi Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda leo amekabidhi Magari ya kisasa 18 kati ya 26 yaliyopelekwa Mkoani Kilimanjaro yakiwa Mabovu kwa ajili ya kufufuliwa. Magari hayo yalipelekwa Kilimanjaro yakiwa yamebebwa kutokana na ubovu lakini sasa yanarejea Dar es Salaam yakiwa mazima [&hellip

Mwigamba, wenzake 9 wang’oka ACT, Wakimbilia CCM.

Mwigamba, wenzake 9 wang’oka ACT, Wakimbilia CCM.

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama cha siasa cha ACT Wazalendo, Samson Mwigamba na wenzake tisa, wamejivua uanachama wa chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mwigamba alieleza hayo jana alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, na kuongeza kuwa wamefikia uamuzi huo baada ya kuona uongozi wa sasa wa ACT [&hellip

Wananchi wasifia makubaliano serikali, Barrick.

Wananchi wasifia makubaliano serikali, Barrick.

Wananchi wamesema makubaliano yaliyofi kiwa kati ya Serikali na Kampuni ya Barrick Gold ni hatua muhimu kwa taifa kuanza kunufaika na rasilimali hiyo. Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Methodius Kilaini aliliambia gazeti hili jana kuwa Rais John Magufuli amethubutu kufanya jambo kubwa, ambalo lilikuwa likiogopwa kwa muda mrefu la kuzungumzia umuhimu wa rasilimali [&hellip

Bil. 400/- Zatolewa Mikopo Vyuo Vikuu.

Bil. 400/- Zatolewa Mikopo Vyuo Vikuu.

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa mikopo kwa wanafunzi 10,196 wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18 katika awamu ya kwanza. Kwa mujibu wa tarifa iliyotolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa bodi hiyo, Abdul-Razaq Badru, jumla ya Sh bilioni 34.6 zimetengwa kwa ajili ya wanafunzi hao 10,196. Badru alisema [&hellip

Oman Yaomba Kuwekeza Sekta Ya Viwanda Bagamoyo.

Oman Yaomba Kuwekeza Sekta Ya Viwanda Bagamoyo.

Mfalme wa Oman Mtukufu Sayyid Qaboos bin Said Al Said amemhakikishia Rais Dk John Magufuli kuwa nchi hiyo ipo tayari kuunga mkono juhudi za Serikali ya Awamu ya Tano kwa kuongeza uwekezaji katika viwanda, uzalishaji wa nishati, kuongeza thamani ya madini, kuendeleza sekta ya gesi na mafuta na kuendeleza ukanda wa uwekezaji wa Bagamoyo ili [&hellip

Takukuru: Nasari Funga Mdomo.

Takukuru: Nasari Funga Mdomo.

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imemuonya Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari wa Chadema, ikimtaka aiache taasisi hiyo ifanye kazi kwa mujibu wa sheria na kamwe asiihusishe wala kuiingiza kwenye matukio ya kisiasa. Taasisi hiyo imetoa tamko hilo, baada ya kushtushwa na kitendo cha mbunge huyo na wenzake, kila wanapowasilisha [&hellip

TMA yahadharisha mvua kubwa zinakuja.

TMA yahadharisha mvua kubwa zinakuja.

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imewataka wachimbaji wa madini katika migodi midogo midogo kuwa makini kwani ongezeko la maji katika udongo linaweza kusababisha mmomonyoko wa ardhi na maporomoko migodini katika kipindi hiki cha mvua za msimu. Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk Agnes Kijazi alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu [&hellip