Category: Habari za Kitaifa

Mwakyembe atoa maagizo mazito TBC.

Mwakyembe atoa maagizo mazito TBC.

Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, imesema, Startimes Group wameikubali taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na mapendekezo yake yote ikiwa ni pamoja na kuipa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) madaraka inayostahili hivyo kuruhusu uwazi katika uendeshaji wa kampuni hiyo ya ubia. Waziri wa Wizara [&hellip

Magufuli awapandisha vyeo maofisa JWTZ.

Magufuli awapandisha vyeo maofisa JWTZ.

Rais na Amiri Jeshi Mkuu, John Magufuli amewapandisha vyeo maofisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika vyeo mbalimbali. Taarifa iliyosomwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo, Ikulu Dar es Salaam jana, ilieleza kuwa Rais Magufuli amempandisha cheo Meja Jenerali Peter Massao kuwa Luteni Jenerali. Meja Jenerali Massao [&hellip

Tutaendelea kumuenzi Sokoine – Majaliwa.

Tutaendelea kumuenzi Sokoine – Majaliwa.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano itaendelea kusimamia maadili ya utumishi wa umma ili kuenzi fikra za Waziri Mkuu wa zamani, hayati Edward Moringe Sokoine. “Tutaendelea kusimamia maadili ya utumishi wa umma kwa kuzingatia yale yote ambayo Mheshimiwa Sokoine aliyaanzisha,” amesema. Alitoa kauli hiyo jana wakati akizungumza na mamia ya wananchi [&hellip

Ubalozi wa Poland wazinduliwa tena nchini.

Ubalozi wa Poland wazinduliwa tena nchini.

Ubalozi wa Poland nchini umezinduliwa tena, huku serikali ya nchi hiyo ikiahidi kuwekeza katika kutengeneza na kuunganisha matrekta katika Mkoa wa Pwani. Pia umeahidi kuwekeza katika utengenezwaji wa vifaa vya kisasa vya kuhifadhi nafaka kwa baadhi ya mikoa ili kuhakikisha ubora na viwango vya nafaka unaimarika ili kuepuka kupotea kwa mazao mengi. Akizungumza wakati wa [&hellip

Huyu ndiye Edward Moringe Sokoine.

Huyu ndiye Edward Moringe Sokoine.

“Ole wao wale wanaotumia nafasi zao za umma na serikali, kuiba, kuhujumu uchumi, kupokea rushwa, maana salama yao ni kudra za Mwenyezi Mungu labda nisiwajue.” Hayo ni maneno aliyowahi kuyatamka Edward Moringe Sokoine, wakati akihutubia mkutano wa kikao cha Halmashauri Kuu wa CCM (NEC) mjini Dodoma, saa chache kabla ya kutokea kwa kifo chake. Leo [&hellip

Waziri Mkuu Tanzania: Ni kweli kuna changamoto za muungano.

Waziri Mkuu Tanzania: Ni kweli kuna changamoto za muungano.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameelezea kuwepo changamoto katika muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kadhalika Waziri Mkuu Majaliwa amesema kuwa, hajaridhishwa na mjadala wa masuala yanayohusiana na muungano bungeni, lakini akasema kuwa ulikuwa na hoja. Majaliwa aliyasema hayo wakati akifanya majumuisho ya bajeti ya ofisi yake kwa mwaka wa fedha 2018/19 bungeni Jumanne ya jana Aprili [&hellip

TPA yatoa vifaa tiba Muhimbili, yachangia damu.

TPA yatoa vifaa tiba Muhimbili, yachangia damu.

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetoa msaada wa viti vya magurudumu mawili vipatavyo 20 vifaa vya kupimia joto 40 (Digital Thermometer) kwa wodi ya watoto katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili vyenye thamani ya Sh milioni 10 pamoja na kuchangia damu. Mchango uliotolewa na TPA ni moja ya kutekeleza Maadhimisho ya miaka 13 [&hellip

Mamia Ya Wanawake Waliotelekezwa Na Waume Zao Wafurika Kwa Makonda.

Mamia Ya Wanawake Waliotelekezwa Na Waume Zao Wafurika Kwa Makonda.

Mkuu wa mkoa wa Dar es salam Paul Makonda jana April 9 amezungumza na akina mama waliotelekezwa na waume zao jijini Dar es Salaam ambapo mamia ya wanawake hao wamejitokeza wakiwa na watoto zao. Ambapo alieleza maumivu na masimango ya peke yao yamekoma sasa ni mguu kwa mguu na ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Makonda [&hellip

Watumishi wa umma warudishwa kazini.

Watumishi wa umma warudishwa kazini.

Serikali imeagiza watumishi wote waliokuwa na ajira za kudumu, za mikataba au za muda waliokuwa kazini kabla ya Mei 20, 2004 ulipoanza kutumika Waraka wa Utumishi namba 1 wa mwaka 2004 warejeshwe kazini mara moja. Serikali imeagiza watumishi hao walipwe mishahara yao kwa muda wote waliokuwa wameondolewa kazini na waendelee na ajira zao hadi watakapostaafu [&hellip

Magufuli ataka mabadiliko polisi.

Magufuli ataka mabadiliko polisi.

Rais John Magufuli amemwaga neema kwa Jeshi la Polisi nchini, baada ya kutangaza kutoa Sh bilioni 10 za ujenzi wa nyumba za askari wa hali ya chini na pia kuahidi ajira 1,500 kwa vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Lakini akalitaka jeshi hilo libadilike upya, huku akipiga marufuku Waziri wa Mambo ya Ndani ya [&hellip