Articles By: admin

Uchaguzi kuanzisha shinikizo mpya juu ya sera za Mashariki ya Kati ya Trump.

Uchaguzi kuanzisha shinikizo mpya juu ya sera za Mashariki ya Kati ya Trump.

Msaada mkubwa katika Congress kwa Israeli haipaswi kubadili wala kupinga utawala wa Irani. Umoja wa Chama cha Kidemokrasia wa Baraza la Wawakilishi la Marekani halitabadili misingi ya bipartisan, kama vile msaada wa Israeli na uadui kuelekea Iran, lakini inaweza kuleta uchunguzi ulioongezeka kwa sera za Amerika Mashariki na upendeleo mpya katika kufufua mkataba wa nyuklia [&hellip

Mamia ya raia wakimbia baada ya shambulio la Boko Haram Nigeria.

Mamia ya raia wakimbia baada ya shambulio la Boko Haram Nigeria.

Mamia ya wanavijiji juzi jioni walizikimbia nyumba zao huko kaskazini mashariki mwa Nigeria baada ya wanamgambo wa kundi la Boko Haram kuwashambulia. Hakuna mtu yoyote aliyeripotiwa kuuawa hata hivyo kujiri shambulio hilo kunaashiria kulegalega kwa hali ya usalama huko kaskazini mashariki mwa Nigeria ambako jeshi la nchi hiyo lingali linaendesha mapambano dhidi ya hujuma za [&hellip

Watu wasiopungua 18 waaga dunia Kongo ajali ya treni.

Watu wasiopungua 18 waaga dunia Kongo ajali ya treni.

Watu wasiopungua 18 wamepoteza maisha baada ya treni kuacha njia mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Hayo yalielezwa jana na maafisa husika wa nchi hiyo. Treni hiyo ilikuwa ikitoka katika mji wa Kindu ikielekea katika mji wa Lubumbashi kusini mashariki mwa nchi ambapo iliacha reli usiku wa kuamkia jana katika eneo la Kasongo. Watu [&hellip

Chama cha upinzani cha Agathon Rwasa nchini Burundi chanyimwa usajili.

Chama cha upinzani cha Agathon Rwasa nchini Burundi chanyimwa usajili.

Mamlaka husika nchini Burundi zimekataa kukipatia usajili chama kipya cha upinzani cha Amizero y’Abarundi kilichoanzishwa hivi karibuni na kiongozi mkuu wa upinzani nchini humo Agathon Rwasa. Rwasa alianzisha chama cha National Freedom Front au FNL-Amizero y’Abarundi yenye maana ya “Matumaini kwa Waruundi” baada ya kupitishwa kwa mabadiliko ya katiba mwezi Mei mwaka huu, mabadiliko ambayo [&hellip

Watu zaidi ya 30 wauawa katika mashambulizi ya kigaidi Mogadishu.

Watu zaidi ya 30 wauawa katika mashambulizi ya kigaidi Mogadishu.

Watu zaidi ya 30 wameuawa katika mashambulizi ya kigaidi yaliyolenga Hoteli ya Sahafi mjini Mogadishu ambayo hutumiwa zaidi na maafisa wa serikali ya Somalia. Ripoti zinasema magaidi kadhaa walishambulia hoteli hiyo iliyoko karibu na makao makuu ya Idara ya Uchunguzi wa Makosa ya Jinai ya Somalia kwa magari kadhaa yaliyokuwa na mabomu na kuua makumi [&hellip

Kaburi la umati lagunduliwa Ethiopia.

Kaburi la umati lagunduliwa Ethiopia.

Serikali ya Ethiopia imetangaza kugunduliwa kaburi la umati lenye miili 200 katika eneo lililo baina ya maeneo ya Oromia na Somali yanayokumbwa na machafuko. Wakuu wa polisi wameripoti kuwa kuna uwezekano mkubwa kuwa miili hiyo ni ya watu waliouawa katika mapigano na kundi la wanamgambo wanaojulikana kama Liyu ambao ni watiifu kwa Abdi Mohammed Omer [&hellip

Mrengo wa upinzani DRC kesho kumteua mgombea mmoja wa kiti cha urais.

Mrengo wa upinzani DRC kesho kumteua mgombea mmoja wa kiti cha urais.

Vigogo saba wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanatarajiwa kuteua mgombea mmoja kuelekea uchaguzi wa urais wa Disemba 23 katika mkutano utakaofanyika kesho huko Geneva, nchini Uswisi, licha ya mvutano unaoendelea katika kambi hiyo ya upinzani. Freddy Matungulu, mmoja wa wagombea wanne wa upinzani amewaambia waandishi wa habari kwamba, viongozi wote wa upinzani [&hellip

Homa ya Manjano yaua watu 10 nchini Ethiopia.

Homa ya Manjano yaua watu 10 nchini Ethiopia.

Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza kuwa watu 10 wamepoteza maisha kutokana na Homa ya Manjano kusini magharibi Ethiopia. WHO imesema itatuma nchini humo haraka iwezekanavyo dozi ya chanjo milioni 1.45 kutoka hifadhi yake ya dharura. Mripuko mpya wa homa hiyo umethibitishwa katika eneo la Wolaita Zone, kusini magharibi mwa nchi tokea Agosti 21 na [&hellip

Watu zaidi ya 80, wengi wakiwa watoto, watekwa nyara Cameroon.

Watu zaidi ya 80, wengi wakiwa watoto, watekwa nyara Cameroon.

Zaidi ya watu 80, wengi wakiwa ni watoto wa shule, wametekwa nyara mapema leo Jumatatu katika shule iliyo katika mji wa Bamenda magharibi mwa Cameroon. Duru za usalama nchini humo zinasema hakuna kundi lolote lililodai kuhusuka na utekaji nyara huo ambao umefanyika katika eneo la wanaozungumza Kiingereza ambapo kuna makundi ya wapiganaji wanaotaka kujitenga na [&hellip

Waasi waua raia saba mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Waasi waua raia saba mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Waasi wamewaua raia wasiopungua saba na kuwateka nyara wengine 15 wakiwemo watoto katika mashambulio mapya ya usiku wa manane huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Teddy Kataliko afisa katika wilaya ya Beni ameeleza kuwa waasi wa ADF walifanya mashambulizi mawili usiku wa kuamkia jana katika mkoa wa Kivu Kusini unaopakana na Uganda. Taarifa [&hellip