Articles By: admin

Madaktari wajiunga na mgomo nchini Zimbabwe kutaka hali bora.

Madaktari wajiunga na mgomo nchini Zimbabwe kutaka hali bora.

Sekta kuu ya madaktari wa hospitali za uma wamejiunga na mgomo nchini Zimbabwe wakati nchi hiyo hivi sasa ikijipapatua kutoka katika mgogoro wa kiuchumi. Hii ni mara ya pili kwa madaktari wa hospitali za uma kufanya mgomo nchini Zimbabwe mwaka huuu kupigania kuongezewa mishahara yao, huku Rais Emmerson Mnangagwa na serikali yake ikiendelea kupigania kutatua [&hellip

Polisi ya Nigeria yaua ‘majambazi’ 100 jimboni Zamfara.

Polisi ya Nigeria yaua ‘majambazi’ 100 jimboni Zamfara.

Polisi ya Nigeria imedai kuwa imefanikiwa kuwaangamiza majambazi 100 katika operesheni iliyofanyika katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa nchi. Hayo yalisemwa jana Ijumaa na Jimoh Moshood, Msemaji wa Polisi ya Nigeria ambaye ameongeza kuwa, majambazi hao waliokuwa wamejizatiti kwa silaha waliuawa katika operesheni iliyofanyika Alkhamisi. Hata hivyo Isa Sanusi, Msemaji wa shirika la kutetea [&hellip

Umoja wa Afrika waionya Burundi dhidi ya waranti wa kutaka kumkamata Pierre Buyoya.

Umoja wa Afrika waionya Burundi dhidi ya waranti wa kutaka kumkamata Pierre Buyoya.

Umoja wa Afrika (AU) umeionya Burundi dhidi ya hatua zinazoweza kuvuruga mchakato wa amani baada ya kutolewa waranti wa kimataifa kumtia mbaroni rais wa zamani wa nchi hiyo Pierre Buyoya pamoja na maafisa wengine 16. Taarifa ya Umoja wa Afrika imeeleza kuwa, kutekelezwa waranti huo unaotaka kutiwa mbaroni Pierre Buyoya kunaweza kuvuruga hali ya mambo [&hellip

Hatimaye wapinzani wafanya maandamano nchini Zimbabwe.

Hatimaye wapinzani wafanya maandamano nchini Zimbabwe.

Maelfu ya wafuasi wa kambi ya upinzani wamefanya maandamano ya kupinga serikali mjini Harare Zimbabwe mbele ya vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo. Kwa mujibu wa shirika la habari la IRIB, maandamano hayo yalifanyika jana Alkhamisi ambapo waandamanaji walikuwa wamebeba mapango yaliyo dhidi ya Rais Emmerson Mnangagwa wa nchi hiyo. Waandamanaji hao wamelalamikia udanganyifu katika [&hellip

Wapinzani kuandamana dhidi ya serikali nchini Zimbabwe.

Wapinzani kuandamana dhidi ya serikali nchini Zimbabwe.

Chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe kimetangaza Alkhamisi ya kesho kutwa kuwa siku ya kufanya maandamano ya kitaifa dhidi ya serikali. Msemaji wa chama cha MDC, Jacob Mafume amesema tayari wameitaarifu polisi ya nchi hiyo kuhusu maandamano hayo, yatakayofanyika kwa ajili ya kulalamikia mfumuko wa bei za bidhaa na kudorora kwa uchumi wa nchi hiyo. [&hellip

Waziri Mkuu wa Ethiopia akutana na wapinzani, aahidi uchaguzi huru, wa haki.

Waziri Mkuu wa Ethiopia akutana na wapinzani, aahidi uchaguzi huru, wa haki.

Waziri Mkuu wa Ethiopia amekutana na wajumbe wa vyama 81 vya siasa kujadili njia za marekebisho ya mfumo wa uchaguzi wa nchi hiyo. Hatua hiyo ya Abi Ahmed ni sehemu ya jitihada za kutekeleza ahadi yake ya kuanzisha anga huru ya kisiasa nchini Ethiopia baada ya kudhibitiwa na chama tawala kwa miaka mingi. Taarifa iliyotolewa [&hellip

Magaidi wa Al Shabab waua watu 10 katika hujuma mpya Somalia.

Magaidi wa Al Shabab waua watu 10 katika hujuma mpya Somalia.

Magaidi wakufurishaji wa kundi la Al Shabab nchini Somalia wameshambulia kituo kimoja cha mafunzo ya Kiislamu kati mwa nchi hiyo na kumuua mhubiri na watu wengine tisa waliokuwa hapo. Afisa mwandamizi wa polisi katika eneo la Galkayo amethibitisha kuwa magaidi wa Al Shabab wameua watu 10 wakiwemo vijana na wanawake katika hujuma hiyo ya mapema [&hellip

Wahajiri 113 waokoloewa katika fukwe za magharibi mwa Libya.

Wahajiri 113 waokoloewa katika fukwe za magharibi mwa Libya.

Jeshi la Majini la Libya limetangaza habari ya kuokoa wahajiri haramu 113 katika fukwe za magharibi mwa nchi hiyo. Jeshi hilo limetangaza kuwa, gadi ya fukwe za Libya kwa kushirikiana na meli moja ya kuchimba gesi ya Libya wamefanikiwa kuwaokoa wahajiri hao ambapo walikuwemo pia wanawake na watoto wadogo kutoka nchi tofauti za Afrika, katika [&hellip

Idadi ya waliofariki katika ajali ya boti Uganda yafika 35.

Idadi ya waliofariki katika ajali ya boti Uganda yafika 35.

Naibu msemaji wa jeshi la Uganda Luteni kanali Deo Akiiki amesema idadi ya vifo vilivyotokana na ajali ya kupinduka kwa boti iliyotokea Jumamosi kwenye Ziwa Victoria nchini humo, imefikia 35. Msemaji huyo ameongeza kuwa operesheni za uokoaji na utafutaji wa miili, zitaendelea kwa wiki moja au zaidi lakini kuna uwekezano mdogo wa kuwapata walionusurika. Imeelezwa [&hellip

Boko Haram yawateka nyara watema kuni 50 Nigeria.

Boko Haram yawateka nyara watema kuni 50 Nigeria.

Kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram limeripotiwa kuwateka nyara makumi ya watu waliokuwa wanatema kuni kaskazini mashariki mwa Nigeria, karibu na mpaka wa nchi hiyo na Cameroon. Umar Kachalla, mkuu wa kundi moja la wanamgambo jana Alkhamisi aliliambia shirika la habari la AFP kuwa, wanachama wa Boko Haram waliwateka watu 50 wakikata kuni [&hellip