Articles By: admin

Talk Show – Br. Khalil Champsi

Kipindi cha Watoto (Kiingereza)

Kipindi cha Watoto (Kiingereza)

http://vimeo.com

Mnyang’anyi Mwenye hikima

Kulikuwa na mwizi kijana aliyeshughulika sana kuiba mali za watu, siku moja alijiwa na mawazo akilini  mwake na kujisemea:  ” Kwa jinsi gani  mimi naendelea na udokozi wa kuiba kila wakati na kisha badala yake sinufaiki, kwa nini nisisafiri mpaka katika nyumba ya mfalme na kumuibia mfalme. Na kwamba kiasi hicho cha fedha, nitaweza  kuanzisha [&hellip

Mahojiano ya dini mbili tofauti

Maonyesho ya Mapishi

Maonyesho ya Mapishi

Maonesho ya mapishi – ni kipindi kijulikanacho kwa jina la K N K – Kauthar na Kitchen. Tulianza mradi huu wa majaribio mapema toka mwaka jana. Maonyesho ya mapishi yamependwa sana na tunaendelea kutoa vipindi vipya kila jumatatu

Taarifa – Kila Wiki

Taarifa – Kila Wiki

Tonight, in our Kiswahili talk show segment “Mjadala”, we will be discussing “The crisis in the Middle East (Part 1)” Date: 20th April 2011. Airing time: 22:00 Hrs Language: Kiswahili

Friday Edition – No 29

Women in the Army of Imam al-Mahdi (aj) Imam Ja’far al-Sadiq (a): “There will be thirteen women alongside al-Qa’im [when he makes his advent].” He was asked: “What will be their role?” The Imam (a) replied, “They will treat the injured and look after the sick just as the [women did] at the time of [&hellip

Vikao vya Furaha

Kwa hakika kati ya vikao vingi vinavyowekwa hupatikana maswali chungu nzima kuhusiana na suala hili, ni vikao vya furaha ambavyo huwekwa kwa matukio mbalimbali ambapo watu hupata burudani kama vile sherehe za ndoa, kuzaliwa watoto, n.k. Swali: Kuna hukmu gani kuhusu vikao hivyo? Ni madhumuni gani ambayo hufaa kuangaziwa katika vikao hivyo? Na upi wigo [&hellip

Maswali na Majibu

Kitabu hiki kidogo kiitwacho Maswali na Majibu kimekusanya baadhi ya majibu ya maswali aliyoulizwa mtunzi katika hadhara na vikao kadhaa mbalimbali ambavyo alishiriki kujibu maswali hayo. Kisha kamati maalumu ikakaa na kuandaa na hatimaye kuwa kitabu. Hivyo, kimeandaliwa kwa muhtasari sana pamoja na kutaja vitabu rejea vinavyotegemewa zaidi na Ahli Sunna ili watu wengi wapate [&hellip