Habari Maalumu
Empower, Educate and Inspire
Imam Mahdi (af) atawafikisha wanadamu kwenye maisha bora yaliyojaa saada ya milele
Mahakama ya Rwanda yawaachilia Diane Rwigara na mama yake ikisema hawana hatia.
Maonesho Maalumu»

Empower, Educate and Inspire
March 11, 2016 9:09 AM-
New Episode: RacismWatch a brand new episode of the kids show on IBNTV and find out how Racism affects children especially in school.on October 11, 2014 6:32 AM
-
Health Show – StrokeDear viewers, we are moving the HEALTH IN PERSPECTIVE program to Saturday for this week only. The episode will...on July 18, 2014 1:13 PM
Mhadhara»
-
Lectures on Ashre ZainabiyyaLectures for Ashre Zainabiyya 1436 by Syed Zaki Baqri airs on IBN TV everyday at 21:15 Hrs.on December 8, 2014 7:50 AM
-
English LecturesLatest Muharram 1436 Lectures of Syed Ammar Nakhswani reciting in Mombasa, Kenya airs on IBN TV everyday at 23:00...on November 1, 2014 7:06 AM
-
English LecturesIBNTV will be featuring English lectures by Sheikh Nuru from tonight at 20:00 Hrs.on October 28, 2014 7:47 AM
Mengineyo»

Tume Ya Mufti: Wafichueni Waliopora Mali Za Waislamu.
September 13, 2016 6:51 AM-
Mashindano ya Qur’ani yaanza OmanKwa mujibu wa mwandishi wa IQNA, mashindano hayo yatawashirikisha watu kutoka makundi yote ya umri hasa vijana...on August 20, 2016 6:31 PM
-
Imam Mahdi (af) atawafikisha wanadamu kwenye maisha bora yaliyojaa saada ya mileleImam Mahdi (af) atawafikisha wanadamu kwenye maisha bora yaliyojaa saada ya milele Ukurasa wa kwanzaJumla19:48...on May 21, 2016 7:44 PM
-
Ijumaa, Mei 20, 2016Leo ni Ijumaa tarehe 13 Shaaban mwaka 1437 Hijria mwafaka na tarehe 20 Mei mwaka 2016 Miladia. Siku kama ya leo...on May 20, 2016 1:19 PM
Bidha Mpya»
-
Islamic Calendar 1435Islamic Calendar 1435 is now available in English & Kiswahili at Al -Itrah Bookshopon July 19, 2013 7:57 AM
-
Toleo la kitabu kipyaKwa sasa kitabu hiki kinapatikana katika duka la vitabu la Al-Itrah Foundation lililopo Dar es Salaam na ni chapa...on November 19, 2012 7:09 AM
-
Mpya Kuwasili ya vitabuAl Itrah imezindua seti ya vitabu tano mpya katika Kiswahili kwa 15,500 / – Sahifa Sajjadia Umoja Wa Kiislamu...on October 30, 2012 12:13 PM
Habari za Kitaifa»

Vigogo Acacia kortini kwa utakatishaji fedha.
October 18, 2018 6:33 AM-
Mamia wajitokeza uzinduzi wa flyover Tazara.Dar es Salaam. Mamia ya wananchi wamejitokeza kwenye sherehe za uzinduzi wa daraja la juu ‘flyover’ la Mfugale...on September 27, 2018 8:36 AM
-
Miili ya watu zaidi ya 40 yaripotiwa kuopolewa Mwanza, Tanzania.Miili ya watu 44 imeopolewa kutoka Ziwa Victoria baada ya kivuko kilichokuwa kimebeba mamia ya abiria kuzama jijini...on September 21, 2018 7:27 AM
-
Walimu Wasomewa Shtaka La Kuua Mwanafunzi Kwa Kukusudia.Walimu wawili Respicius Patrick Mtazangira na Herieth Gerald, ambao ni watuhumiwa wa mauaji ya mwanafunzi Sperius...on September 18, 2018 8:31 AM
Habari za Kimataifa»

Mahakama ya Rwanda yawaachilia Diane Rwigara na mama yake ikisema hawana hatia.
December 7, 2018 7:21 AM-
Homa ya Manjano yaua watu 9 nchini Nigeria.Mripuko wa homa ya manjano nchini Nigeria umesababisha vifo vya watu tisa katika jimbo la Edo kusini mwa nchi...on December 7, 2018 7:08 AM
-
Algeria yagundua ghala la makombora la makundi ya kigaidi.Jeshi la Algeria limetangaza kuwa limegundua ghala lenye silaha na zana za vita yakiwemo makombora 11 lililokuwa...on December 7, 2018 6:51 AM
-
Burundi yaiagiza UN ifunge ofisi yake ya haki za binadamu Bujumbura.Serikali ya Burundi imeliagiza Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa lifunge ofisi yake iliyoko katika...on December 7, 2018 6:45 AM
Makala Mpya
Mahakama ya Rwanda yawaachilia Diane Rwigara na mama yake ikisema hawana hatia.
Mahakama mjini Kigali Rwanda imetangaza kuwa, mwanasiasa Diane Rwigara na mamake Adeline Rwigara hawana hatia na kwamba mashtaka dhidi yao hayana msingi wowote. Mahakama imesema kwamba imefanya uamizi huo kutokana na kwamba upande wa mashitaka haukutoa ushahidi wa kutosha. Wawili hao walishitakiwa kwa makosa ya kuchochea vurugu na mgawanyiko miongoni mwa wananchi wa Rwanda pamoja [&hellip
Homa ya Manjano yaua watu 9 nchini Nigeria.
Mripuko wa homa ya manjano nchini Nigeria umesababisha vifo vya watu tisa katika jimbo la Edo kusini mwa nchi hiyo ya Afrika Magharibi. Kamishna wa Afya katika jimbo hilo, Dakta David Osifo amesema walioaga dunia katika mripuko huo ni vijana waliokuwa na umri wa kati ya miaka 14 na 20, na kwamba saba miongoni mwao [&hellip
Algeria yagundua ghala la makombora la makundi ya kigaidi.
Jeshi la Algeria limetangaza kuwa limegundua ghala lenye silaha na zana za vita yakiwemo makombora 11 lililokuwa likimilikiwa na magaidi kusini mwa nchi hiyo. Wizara ya Ulinzi ya Algeria imetangaza kuwa, jeshi la nchi hiyo pia Alkhamisi ya jana liligundua maficho 11 ya magaidi katika maeneo ya kaskazini mwa nchi hiyo na kunasa silaha na [&hellip
Burundi yaiagiza UN ifunge ofisi yake ya haki za binadamu Bujumbura.
Serikali ya Burundi imeliagiza Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa lifunge ofisi yake iliyoko katika mji mkuu wa nchi hiyo, Bujumbura katika kipindi cha miezi miwili ijayo. Msemaji wa Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, Ravina Shamdasani hii leo amewaambia waandishi wa habari mjini Geneva kuwa, ni kweli walipokea [&hellip
Bunge la Sudan launga mkono marekebisho ya sheria za uchaguzi, al Bashir kugombea tena.
Kiongozi wa muda mrefu wa Sudan, Omar Hassan al Bashir anakaribia kupata idhini ya kugombea tena kiti cha rais wa nchi hiyo baada ya wawakilishi wa Bunge la nchi hiyo kuunga mkono pendekezo la kufanyika marekebisho ya sheria za uchaguzi. Marekebisho hayo yatakayoondoa ukomo wa muda wa urais yatamuwezesha Omar al Bashiri kugombea kiti cha [&hellip
Kiongozi wa Ikhwanul Muslimin ya Misri ahukumiwa kifungo kingine cha maisha jela.
Katika mwendelezo wa utoaji hukumu za adhabu ya kifungo cha maisha jela kwa kiongozi wa harakati ya Ikhwanul Muslimin, mahakama ya Misri imemhukumu Muhammad Badie na washtakiwa wengine watano hukumu ya kifungo cha maisha jela katika kesi nyingine iliyokuwa ikiwakabili. Mahakama ya Jinai ya mjini Cairo jana ilitoa hukumu ya kesi ya mwaka 2013 inayojulikana [&hellip
Kiu na njaa yaua wahajiri 15 ndani ya boti, pwani ya Libya.
Maiti 15 za wahajiri zimepatikana zikiwa ndani ya boti katika pwani ya Libya, katika bahari ya Mediterania. Raia wa Misri ambaye ni katika manusura wa ajali hiyo amesema leo Jumanne kuwa: “Tulikuwa wahajiri 25 ndani ya boti hiyo. Tulianzia safari mjini Sabratah, magharibi mwa Libya. Tulikuwa baharini kwa siku 12 bila chakula wala maji. Wenzetu [&hellip
Hamas yaiomba Afrika Kusini kusadia mapambano ya ukombozi ya Wapalestina.
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imeiomba Afrika Kusini izidishe uungaji mkono na misaada yake kwa taifa la Palestina katika mapambano yake ya ukombozi dhidi ya utawala haramu wa Israel. Wito huo umetolewa na ujumbe wa Hamas ulioko nchini Afrika Kusini kwa shabaha ya kupata uungaji mkono zaidi wa Pretoria kwa mapambano ya [&hellip
HRW: Askari usalama Msumbiji wanakiuka haki za binadamu.
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limevituhumu vyombo vya usalama vya Msumbiji kuwa vinakiuka haki za binadamu katika operesheni zake za kupambana na ugaidi kaskazini mwa nchi. Dewa Mavhinga, Mkurugenzi wa Human Rights Watch Kusini mwa Afrika amesema maafisa usalama wa Msumbiji wamewaua, kuwakamata na kuwatesa watu wanaoshukiwa kuwa wanachama wa [&hellip
Jeshi la Kongo DR lakabiliana na waasi; lauwa 18 mashariki mwa nchi.
Mapigano kati ya jeshi na waasi watiifu kwa Jenerali muasi wa zamani huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yamesababisha vifo vya watu wasiopungua 18. Hayo yameelezwa leo na duru za jeshi la Kongo. Zimeongeza kuwa waasi 14 na wanajeshi wa serikali wanne wameuliwa katika eneo la Fizi, katika mkoa tajiri kwa madini wa [&hellip